donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
[emoji2]
HahahahDuh....
Harusi zinakuwaga na mbwembwe
Miezi 6 tu kila mtu kamchoka mwenzie
Ova
Hatare
Niliona mwanamke anakuwa shabiki wa mpira mpaka ananunua mijezi na kwenda uwanjani kuangalia mpira, huwa napita pembeni hata kama ni pisi kali...
Cc: Shadeeya.Niliona mwanamke anakuwa shabiki wa mpira mpaka ananunua mijezi na kwenda uwanjani kuangalia mpira, huwa napita pembeni hata kama ni pisi kali...
Hawa wanakuwaga bize kufuatilia mpira bila kujali kufuatilia watoto
Hahahah, Kuna ukweli mkuu.Niliona mwanamke anakuwa shabiki wa mpira mpaka ananunua mijezi na kwenda uwanjani kuangalia mpira, huwa napita pembeni hata kama ni pisi kali...
Hawa wanakuwaga bize kufuatilia mpira bila kujali kufuatilia watoto