Upinzani unadumazwa na CHADEMA

Upinzani unadumazwa na CHADEMA

Unalinganisha strategy au kipi hapo? na ukitaka kujiona vizuri unakumbuka CCM ilikuwa na wagombea wangapi? linganisha na CHADEMA uone maajabu.
Kuwa wengi does not signify succession plan. Ni kuwa kila mtu aliruhusiwa kuweka Jina. hata yule mkulima wa darasa la saba aliweka jina. Sasa na huyo mkulima alikuwa anaadaliwa kuwa rais?
 
Kuwa wengi does not signify succession plan. Ni kuwa kila mtu aliruhusiwa kweka Jiwe. hata yule mkulima wa darasa la saba aliweka jina. Sasa na huyo mkulima alikuwa anaadaliwa kuwa rais?
Sijasema idadi yao ila mpango wao ndiyo kiini hapo
 
Back
Top Bottom