Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,299
- 5,916
Unalinganisha strategy au kipi hapo? na ukitaka kujiona vizuri unakumbuka CCM ilikuwa na wagombea wangapi? linganisha na CHADEMA uone maajabu.succession plan ya CCM ni ipi? maagufuli? CCM ilipanga kweli aawe rais anayefuata, au Bashiru awe KM? Polepole awe K/Mwenezi? hao wote ni ngekewa by Mdee's voice!You must be carzy!
Nikuulize hivi upinzani imeanza kwenye uchaguzi wa juzi au? Twende taratibu misingi ya upinzani CHADEMA ni more than weakKama kisingizio chako ni CHADEMA ninamashaka na uelewa wako ndani ya siasa ya TZ! Ni juzi tu Tar 24 Nov. ndo uchaguzi wa serikali za mitaa ulifanyika na bado lawama unapeleka kwa CHADEMA!!
Kwa nini usiwalaumu Serikal na Tume ya Uchaguzi labda na vyombo vya usalama?
Haujaanza juzi! then hujui vyama kama CHADEMA kila uchaguzi ilikuwa ikizidi kuongeza nafasi? Je, waliowakata wagombea wa Upinzani hata waliorudisha fomu ni Viongozi wa CHADEMA?.Nikuulize hivi upinzani imeanza kwenye uchaguzi wa juzi au? Twende taratibu misingi ya upinzani CDM ni more than weak
Mbona hatutaki self criticism unataka kusema hakuna sababu zozote za ndani ya Cdm zinazozorotesha upinzan au?.Haujaanza juzi! then hujui vyama kama CHADEMA kila uchaguzi ilikuwa ikizidi kuongeza nafasi? Je, waliowakata wagombea wa Upinzani hata waliorudisha fomu ni Viongozi wa CHADEMA?.
Na kungekuwa na tume huru ya uchaguzi kuna vyama vingine vingebaki na jembe tu kwa bendera zao! Nyundo haitumiki sana shambani/vijijini
Heading "upinzani unadumazwa na CHADEMA" kama self criticism labda ubadilishe headingMbona hatutaki self criticism unataka kusema hakuna sababu zozote za ndani ya Cdm zinazozorotesha upinzan au?.
Hayo ni mainga ya lumumba yako kwenye propaganda mfu.Kama kisingizio chako ni CHADEMA ninamashaka na uelewa wako ndani ya siasa ya TZ! Ni juzi tu Tar 24 Nov. ndo uchaguzi wa serikali za mitaa ulifanyika na bado lawama unapeleka kwa CHADEMA!!
Kwa nini usiwalaumu Serikal na Tume ya Uchaguzi labda na vyombo vya usalama?
Yani wewe hujui kuwa CUF chanzo cha kusambaratika ni Chadema?Km huna cha kuandika kaa kimya. Kwa mwenye akili timamu anajua upinzani unadumazwa na nani. Inamaana Chadema ndo wameisambaratisha CUF? Mijitu mingine buana!
Taharuki itapotea hapoHeading "upinzani unadumazwa na CHADEMA" kama self criticism labda ubadilishe heading
Hizo ni hisia zako sizikatai ila najikubali sanaHayo ni mainga ya lumumba yako kwenye propaganda mfu.
Khaa..mjomba vipi tena?..Ofisi ya msajili was vyama ipo wazi 24/7 kwa wale mnaotaka upinzani mathubiti si mkasajili chama chenu
Kusoma jina tu umeshindwa unaweza kujenga hoja kweli?..hakuna kitimoto hapo ninaitwa Mlakimtoto.Unatudhalilisha wala Kitimoto aisee. Hatunaga hoja za namna hiyo.