Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,733
- 4,928
Wananchi wanapenda mabadiliko sana ila vyama vinavyojiita vya upinzani Nchini hususani Chadema kimekuwa kikizorotesha sana uhai upinzani.
Ushahidi wa haya unayoyasema upo wazi kabisa:-
1. CHADEMA ndiyo waliomkera Dr Wilbroad Slaa kiongozi ambaye alipaswa kuzalisha vijana wengi kwa kuwafundisha historia ya siasa za kipinzani za kistaarabu.
2. Chama hiki licha ya kuwa chama kikuu cha kipinzani Nchini hakina succession planning inayoeleweka kwa mfano mwaka 2015 kiliamua kuona wagombea wake wa ndani hawafai na kuazima mgombea kutoka CCM.
Hii inaonesha kuna watu wanaaminiwa na Wananchi wawawakilishe ila wanachokifanya hao wawakilishi siyo uwakilishi unaotakiwa.
Nadhani leo tarehe 4/12/2018 tumemsikiliza Mheshimiwa Waziri Mkuu Mstaafu amesema nini kuhusu CDM halafu tuunganishe nukta.