Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,798
- 12,239
Ukiambiwa wewe ni msukule utasema umeonewa? Maalim Sefu hagombei urais wa Jamuhuri bara inamuhusu nini? Na Lissu hagombei Zanzibar ambako wapiga kura hawazidi laki nne, kwa nini ajisumbue huko?Lisu alienda Zanzibar akafoka eti wao chadema hawana maslahi na Zanzibar, Seif nae hivyo hivyo hana maslahi na Bara.
Mpaka hapo unajua hawa jamaa hawajui wanataka nini na kwa wakati gani