Kazi gani ya kuziba midomo kwa toilet paper?Posho ndiyo sehemu ya malipo ya kazi wanayofanya wataishije bila posho na mishahara wewe ungeweza kufanya kazi bila malipo?
Umekurupuka hoja yako nyepesi.
Mkubwa kwani wakatu wanasema wabunge wa chadema hawatopokea posho hawakujua kuwa posho ni sehemu ya malipo ya kazi yao na badala yake wakatuambia kuwa hawatachukua posho na kumtukana shibuda lakini kimya kimya wakachukua posho.ni aibuPosho ndiyo sehemu ya malipo ya kazi wanayofanya wataishije bila posho na mishahara wewe ungeweza kufanya kazi bila malipo?
Umekurupuka hoja yako nyepesi.
ww unamtetea nani?ichi kijamaa waga ni kijinga sanaaa, nja tu, et na chenyewe kinatafta attention wakijue wakikumbuke katika ufalme wao, af ana iq ndogo sanaaaa hawezi hata ku reason.
msishangae kuona kinatumia jina lake halisi, kinataka nacho wakijue, et hua kinaitetea ccm sanaaa basi wakalili jina lake.
Kwa hiyo kuiba na kuwadhurumu pesa waanga wa bukoka na kuteka watanzani ndio unajisifia
BRING BACK KINANA AND BENN
SWISSME
mnajitekenya mnacheka wenyew kaz kutafuta kiki zisizo na msingiHizo ni comedy mwisho wa cku hakuna lolote ajenge kwa makusanyo yapi ya kodi,madawa na mikopo ya wanafunzi tu mmeshindwa kulipa mnafikiria comedy zinawabeba mpka lini
Wewe utakuwepo kukisubili hicho kizazi?Kuna upinzani basi hapa Tanzania yaani sijui wamepatwa na nini hadi nashangaa yaani wamekua viroja tu nilijua labda viroba vikipigwa marufuku watajielewa lakini wapi! Waongo,wazandiki, wachonganishi, leo wakisema hili kesho yake wanalikataa,wamejawa na matusi tu, tusubiri kizazi kijacho hiki kwa upinzani hapana.