Kunawakati mpubavu hujitekenya na kucheka kisha hukimbia/hutembea akiwa uchi na kujinasibu amevaa suti, wewe nimmojawapo.
-Propaganda na ukweli vinatofautiana sana na majungu na mipasho ni hazina ya mwerevu kwa mjinga na --------.
a) nimekuuliza haya yanaisaidiaje ccm kuwakwamua watanzania kutoka dimbwi la umaskini na balaa ujinga?
b) unaweza kunasibisha vipi kashifa za udin na ukabila kuelekea chaguzi mbalimbali-zingatia siasa za ccm
c) kunauwiano gani wa usawa katika
i) Tume huru ya uchaguzi isiyoelemea upande wowote, mara ngapi tumewasikia wakikandamiza upinzani?
ii) vyombo vya dola katika kuhakikisha watanzania wanafanya uchaguzi bila vitisho na lazima za watawala?
iii) vyombo vya maamuzi hususani mahakama, je vipi mara kadhaa kumekuwa na kauli tata kuhusu utendaji wa ovyo kwa chombo hiki?
iv) Ni kweli kwamba daftari la wapiga kura limeboreshwa kwa uwazi na mujibu wa sheria? kama bado kwanini?
Hayo yote ukiyachnaganya nakuyaweka katika kapu moja utapata ushindi batili wa ccm, wala sio wa haki na kweli, nakwa watu wajinga na wapumbavu ambao uelewa wao ni kama vichaa hushupalia na kuushangilia ilhali haki ikiwa imepewa kisogo.