Kwa muda sasa hata vyombo vya habari vimepuuza kabisa kureport taarifa za upinzani nchini ukiacha gazeti moja la Tanzania Daima ambalo ni rahisi kujua kwanini wamebaki peke yao!
Moja ya sababu ni kukithiri kwa migogoro ndani ya vyama vya siasa ISIYOTAFUTIWA MAJAWABU KWA MUDA SAHIHI! Eg. Chadema na Zitto, CUF Seif na Hamad Rashid. Ongeza sababu zingine hapa!
Bandiko lako halishabihiani na uhalisia