Upinzani mnge deal vipi na Ufisadi?

Upinzani mnge deal vipi na Ufisadi?

Umesema "wangetafuta ushahidi wa kutosha", hivi wakati upinzani unawataja mafisadi, walitoa ushahidi!

Kusema uwongo ni tabia ya watu wa aina fulani hasa waoga, wanafiki na wambea.

Wimbo wa UFISADI ulianzishwa na kuimbwa na kambi ya upinzani. Serikali, ya wakati huo, kutokushiriki kuimba wimbo huo, ikakebeshwa lawama.

Kinachotokea sasa kwa Serikali iliyoko madarakani, si kuimba tu huo wimbo ila ni pamoja na kuwaimbisha, kuwacheza kwata hata kuwafunga mafisadi.

Tutaishia kuandika hisia zetu, kuhalalisha lawama na shutuma dhidi ya Serikali, humu jamvini tu. Hakika, hakuna kitachobadilika katika vita dhidi ya kila aina ya uovu katika jamii - uzembe, umangimeza, ubadhirifu, rushwa, ufisadi, nk.
Tena hapo Mwembeyanga wakaipa hiyo list na jina la kidhungu, wakaiita List of..........
 
Vita ya dhidi ya ubadhirifu na rushwa iliyopewa jina LA ufisadi inayosimamiwa na Magufuli imezua mjadala na kauli za kuipinga kuwa wanaoguswa nayo wanaonewa!

Sio jambo rahisi kufuta ubadhirifu, ufujaji na rushwa bila kugusa MTU kwa maana yote hayo ni matendo ambayo yanafanywa na binadamu!

Sioni ni kwa namna gani tunaweza kushughulika na matendo batili bila kuwagusa baadhi ya watu!

Sasa kila anayeguswa imegeukwa wimbo kuwa anaonewa!

Wapinzani wamesahau kuwa wao ndio waliokuwa wakitaka uovu wote ufutwe hapa nchini!

Sasa tunapojitahidi kuufuta huo uovu wanaibuka kwa kusema kuwa ni makosa kuufuta.

Nataka nijue ni kwa namna gani, upinzani ungepambana na ubadhirifu, wizi na rushwa bila kugusa watu!
Kisayansi na sio kikukomoana,kimkakati nasio kikutoana kafala(ra). Kimfumo na sio kikutafuta ujiko binafsi bila takukuru kuhusika
 
Haha haha EOCA, ama cap 200 ilifanyiwa marekebisho mkuu ( ammandment) ili kuruhusu hiyo mahakama kuwepo mkuu!
Suala siyo uwepo wa mahakama ya mafisadi,suala ni kuanzishwa kwa mahakama hiyo wakati mahakama zipo zinazofanya kazi Kama hiyo na zinauwezo wa kutoa adhabu kubwa kushinda hata mahakama ya mafisadi ambayo tangu imeanzishwa hakuna hata kesi moja ambayo imesikilizwa na kutolewa hukumu.
 
Bila shaka wangefanya hivyo bila kumuonea MTU,wangetafuta ushahidi wa kutosha, halafu sidhani kama wangeuliza hadhara, tumtumbue au tusimtumbue?
Kwani ule ushahidi wa richmond uliishia wapi. Imani ya kupambana na ufisadi chadema ilimezwa baada ya kuhamia lowasa. Na hapo ndipo nlipoona mlikuwa mnatutumia wananchi kama daraja, thank god kamleta magufuli na tunaona kwa vitendo.
 
Hahaha uzi nyingine hovyo kweli
Hata like moja haijapata kuonesha nijinsi gani ilivyo kuwa yakichwara shame on
 
Vita ya dhidi ya ubadhirifu na rushwa iliyopewa jina LA ufisadi inayosimamiwa na Magufuli imezua mjadala na kauli za kuipinga kuwa wanaoguswa nayo wanaonewa!

Sio jambo rahisi kufuta ubadhirifu, ufujaji na rushwa bila kugusa MTU kwa maana yote hayo ni matendo ambayo yanafanywa na binadamu!

Sioni ni kwa namna gani tunaweza kushughulika na matendo batili bila kuwagusa baadhi ya watu!

Sasa kila anayeguswa imegeukwa wimbo kuwa anaonewa!

Wapinzani wamesahau kuwa wao ndio waliokuwa wakitaka uovu wote ufutwe hapa nchini!

Sasa tunapojitahidi kuufuta huo uovu wanaibuka kwa kusema kuwa ni makosa kuufuta.

Nataka nijue ni kwa namna gani, upinzani ungepambana na ubadhirifu, wizi na rushwa bila kugusa watu!
stroke unalipwa shing ngapi huko Lumumba?
 
Utawa unaozingatia sheria, fuatilia wanaume wababe kwenye ndoa zao wanaibiwa sana wake
 
Back
Top Bottom