Upinzani mnge deal vipi na Ufisadi?

Upinzani mnge deal vipi na Ufisadi?

Umesema "wangetafuta ushahidi wa kutosha", hivi wakati upinzani unawataja mafisadi, walitoa ushahidi!

Kusema uwongo ni tabia ya watu wa aina fulani hasa waoga, wanafiki na wambea.

Wimbo wa UFISADI ulianzishwa na kuimbwa na kambi ya upinzani. Serikali, ya wakati huo, kutokushiriki kuimba wimbo huo, ikakebeshwa lawama.

Kinachotokea sasa kwa Serikali iliyoko madarakani, si kuimba tu huo wimbo ila ni pamoja na kuwaimbisha, kuwacheza kwata hata kuwafunga mafisadi.

Tutaishia kuandika hisia zetu, kuhalalisha lawama na shutuma dhidi ya Serikali, humu jamvini tu. Hakika, hakuna kitachobadilika katika vita dhidi ya kila aina ya uovu katika jamii - uzembe, umangimeza, ubadhirifu, rushwa, ufisadi, nk.
Sio "Bunge la CCM" lililoua ufisadi wa Lugumi? Mchezo wa UDA unaelewa ulivyochezwa? Kuna ufisadi mbaya kuzidi ule wa kusigana taratibu za utumishi wa umma na kuweka makada wa chama chetu kwenye nafasi za u-DAS na u-DED? ukiishafanya hivyo hata uimbeje nyimbo za kupiga vita ufisadi ni vigumu kueleweka!
 
Mahakama ya mafisadi wamepelekwa wangapi?.
Sheria ikitungwa huwa inaanza kutumika kwa makosa ambayo yamefanyika kuanzia kipindi sheria hiyo imeanza kutumika! Isipokua kama sheria hiyo imetamka hivyo wazi kwamba makosa yaliyotendeka kabla ya sheria hiyo kutungwa yatakuwa sehemu ya makosa atakayoshitakiwa nayo mkosaji!
 
Kwahiyo unataka kuniambia kwasasa Tanzania hatuna mafisadi
 
Sheria ikitungwa huwa inaanza kutumika kwa makosa ambayo yamefanyika kuanzia kipindi sheria hiyo imeanza kutumika! Isipokua kama sheria hiyo imetamka hivyo wazi kwamba makosa yaliyotendeka kabla ya sheria hiyo kutungwa yatakuwa sehemu ya makosa atakayoshitakiwa nayo mkosaji!
Alaa kumbe mahakama ya mafisadi ni sheria,ilipitishwa na Bunge la kikao cha ngapi?.
 
Ndoto ya kuona ufisadi uking'olewa na upinzani pindi ukiingia madarakani ilitoweka pale tu nilipoona Lowassa akikaribishwa CHADEMA.

Mpinzani pekee aliyekuwa na nia thabiti ya kupiga vita ufisadi ni dokta Slaa.
 
Umesema "wangetafuta ushahidi wa kutosha", hivi wakati upinzani unawataja mafisadi, walitoa ushahidi!

Kusema uwongo ni tabia ya watu wa aina fulani hasa waoga, wanafiki na wambea.

Wimbo wa UFISADI ulianzishwa na kuimbwa na kambi ya upinzani. Serikali, ya wakati huo, kutokushiriki kuimba wimbo huo, ikakebeshwa lawama.

Kinachotokea sasa kwa Serikali iliyoko madarakani, si kuimba tu huo wimbo ila ni pamoja na kuwaimbisha, kuwacheza kwata hata kuwafunga mafisadi.

Tutaishia kuandika hisia zetu, kuhalalisha lawama na shutuma dhidi ya Serikali, humu jamvini tu. Hakika, hakuna kitachobadilika katika vita dhidi ya kila aina ya uovu katika jamii - uzembe, umangimeza, ubadhirifu, rushwa, ufisadi, nk.
vita gani inapigwa dhidi ya ufisadi??Mtu yeyote serious hawezi kusema tunapambana na ufisadi,ufisadi unatafsiri pana.Mfano Rais kujiamulia tu kutoa tenda kwa makampuni fulani bila kutangaza zabuni ni ufisadi pia.Tena anavunja sheria ya manunuzi ya umma
 
Hiyo ili kuwa mwaka Jana mkuu!
Ha ha ha haya bwana,kilichopo ni kwamba hakuna sheria inayoitwa mahakama ya mafisadi,sheria inayotumika ilikuwepo kabla ya mahakama ya mafisadi kuanzishwa ilianzishwa kipindi kile cha utawala wa Nyerere kipindi cha wahujumu uchimi na ukishitakiwa chini ya sheria hiyo ya wahujumu uchumi ujue kuwa dhamana hakuna.

Na hapa ndipo penye matumizi mabaya ya fedha kwa kuwa mahakama ya mafisadi ni ya kisiasa zaidi kwa kuwa hakuna sababu zozote za msingi za kuanzisha mahakama ya mafisadi.

Wakati mahakama za kushughulikia kesi hizo chini ya sheria ya uhujumu uchumi zipo,Kama mahakama hizo zinaweza kushughulikia kesi za uhaini,mauaji ambazo adhabu yake ni kifo,zingishindwaje kushughulikia kesi za ufisadi ambazo mtuhumiwa haukumiwi kunyomgwa?au hahukumiwi kifungo cha maisha Kama wabakaji na majambazi wanaoweza kuhukumiwa miaka 30?.
 
Jibu liko wazi. Kwani ni nani aliyesema Makaburi hayawezi kufukuliwa? ni wapinzani ndio waliosema hivyo??
 
2e30d0d3e95d09b68938e85f6ca1108b.jpg
 
Ha ha ha haya bwana,kilichopo ni kwamba hakuna sheria inayoitwa mahakama ya mafisadi,sheria inayotumika ilikuwepo kabla ya mahakama ya mafisadi kuanzishwa ilianzishwa kipindi kile cha utawala wa Nyerere kipindi cha wahujumu uchimi na ukishitakiwa chini ya sheria hiyo ya wahujumu uchumi ujue kuwa dhamana hakuna.

Na hapa ndipo penye matumizi mabaya ya fedha kwa kuwa mahakama ya mafisadi ni ya kisiasa zaidi kwa kuwa hakuna sababu zozote za msingi za kuanzisha mahakama ya mafisadi.

Wakati mahakama za kushughulikia kesi hizo chini ya sheria ya uhujumu uchumi zipo,Kama mahakama hizo zinaweza kushughulikia kesi za uhaini,mauaji ambazo adhabu yake ni kifo,zingishindwaje kushughulikia kesi za ufisadi ambazo mtuhumiwa haukumiwi kunyomgwa?au hahukumiwi kifungo cha maisha Kama wabakaji na majambazi wanaoweza kuhukumiwa miaka 30?.
Haha haha EOCA, ama cap 200 ilifanyiwa marekebisho mkuu ( ammandment) ili kuruhusu hiyo mahakama kuwepo mkuu!
 
Upinzani saivi naona wana hoja dhaifu mana mengi waliyoyataka Magu anafanya,..
 
Upinzani na ufisadi ni sawa na pete na kidole.....daima vinaambatana!
 
Kupiga pingu jitu lille LA kivuko kibovu kuwa kombora la jesh
 
Back
Top Bottom