Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 36,982
- 45,902
Vita ya dhidi ya ubadhirifu na rushwa iliyopewa jina LA ufisadi inayosimamiwa na Magufuli imezua mjadala na kauli za kuipinga kuwa wanaoguswa nayo wanaonewa!
Sio jambo rahisi kufuta ubadhirifu, ufujaji na rushwa bila kugusa MTU kwa maana yote hayo ni matendo ambayo yanafanywa na binadamu!
Sioni ni kwa namna gani tunaweza kushughulika na matendo batili bila kuwagusa baadhi ya watu!
Sasa kila anayeguswa imegeukwa wimbo kuwa anaonewa!
Wapinzani wamesahau kuwa wao ndio waliokuwa wakitaka uovu wote ufutwe hapa nchini!
Sasa tunapojitahidi kuufuta huo uovu wanaibuka kwa kusema kuwa ni makosa kuufuta.
Nataka nijue ni kwa namna gani, upinzani ungepambana na ubadhirifu, wizi na rushwa bila kugusa watu!