Upinzani mnakwama wapi?

cchrispian

Member
May 9, 2013
16
45
Hivi viongozi wa vyama pinzani mbona wanajiangusha? Muda kama huu ambapo wananchi hawana imani na chama tawala ilibidi wao ndo waongoze kutoa hoja zenye msimamo. Hata kama hawapo bungeni, wangetumia muda huu kutoa maoni na kampeni ndogondogo za kuunga mkono wananchi.

Ila naona wao ndo kwanza wanafanya mambo yasiyoeleweka hata. Waache matukio ya ili waonekane kwenye magazeti.
Unganeni na wananchi, kufikia 2025 nahakika bungeni mtarudi wengi na mkifanya vizuri sana hiyo miaka 5 mnaweza kupata uraisi 2030. Ila mkiendelea kulalama, itafika 2025 mtabaki kulalamika tena kura zimeibwa.
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
11,076
2,000

IMG_20210722_152623_160.jpg
 
Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
11,596
2,000
Hivi viongozi wa vyama pinzani mbona wanajiangusha? Muda kama huu ambapo wananchi hawana imani na chama tawala ilibidi wao ndo waongoze kutoa hoja zenye msimamo. Hata kama hawapo bungeni, wangetumia muda huu kutoa maoni na kampeni ndogondogo za kuunga mkono wananchi.

Ila naona wao ndo kwanza wanafanya mambo yasiyoeleweka hata. Waache matukio ya ili waonekane kwenye magazeti.
Unganeni na wananchi, kufikia 2025 nahakika bungeni mtarudi wengi na mkifanya vizuri sana hiyo miaka 5 mnaweza kupata uraisi 2030. Ila mkiendelea kulalama, itafika 2025 mtabaki kulalamika tena kura zimeibwa.
Mnafiki mwingine huyu

MwanaCCM amefungua uzi kuwaelewesha upinzani how to be upinzani

Tangu lini?

Uzuri mjadala wa Tozo na Katiba Mpya ndio unaongoza online kwenye IPs zote zinazotoka Tanzania

Kwamba mjadala among people upo,this makes the government and CCM lunatics shit on their panths!

So sad for you motherfvckers!
 
  • Love
Reactions: BAK

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
117,880
2,000
Katiba Mpya ni mambo yasiyoleweka!?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hivi viongozi wa vyama pinzani mbona wanajiangusha? Muda kama huu ambapo wananchi hawana imani na chama tawala ilibidi wao ndo waongoze kutoa hoja zenye msimamo. Hata kama hawapo bungeni, wangetumia muda huu kutoa maoni na kampeni ndogondogo za kuunga mkono wananchi.

Ila naona wao ndo kwanza wanafanya mambo yasiyoeleweka hata. Waache matukio ya ili waonekane kwenye magazeti.

Unganeni na wananchi, kufikia 2025 nahakika bungeni mtarudi wengi na mkifanya vizuri sana hiyo miaka 5 mnaweza kupata uraisi 2030. Ila mkiendelea kulalama, itafika 2025 mtabaki kulalamika tena kura zimeibwa.
 
Jul 1, 2021
36
95

Hainisha hoja ata moja mbíli tujue
 
Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
882
1,000
Kama chadema kinamtumia Mdude kutoa miongozo ya chama, hapo unaona kuna dalili ya kushinda hata serikali za mitaa kweli, achilia mbali ubunge na uraisi wa nchi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom