Upinzani Kutumika Kukwamisha Juhudi Za Rais Magufuli katika Suala Madini

Wakati mnaingia mikataba hamkuhitaji juhudi za wapinzani, kwanini saiz ndo muhitaji juhud zao? Shimo mlilolichimba mmedumbukia wenyewe.
 
Kuna dalili tosha kwenye kambi ya upinzani wameanza kutoa taarifa za kupotosha hatua aliyechukua Rais Magufuli katika masuala ya madini.

Rais aliunda tume ya wasomi waliobobea na wao wakatoa mapendekezo kwa Rais na akalipeleka kwa Spika kwanini tuanze kumlaumu Rais kwa juhudi zote hizo.

Tundu Lissu acha kuwadangaya watanzania kama upo kwenye payroll ya Acacia tuambie . Bunge litajadili hili suala na utakuwa na nafasi ya kutoa maoni yako. Usikimbilie mitandao ya kijamii kuwapoteza watanzania na acha kurukaruka na statements nyingi na kama umekuwa mwanasheria wa ACACIA tuambie.

Mheshimwa Spika naomba uwashauri hawa wabunge waache kujadili hili suala nje ya bunge kwani hili suala liko mikononi mwako.

Tundu Lisu , yeye anataka tusubili mpaka Chama chake kiingie ikulu(Mwaka 2999) ndiyo tuanze kufuatilia/kulinda Madini yetu.
 
Back
Top Bottom