Upinzani kuimarika zaidi chini ya Rais Magufuli

Upinzani kuimarika zaidi chini ya Rais Magufuli

Manface wewe bure kabisa, is it neccesssary to copy and pest from other Athours? Wewe huna cha kujitegemea kutoka kwenye ubongo wako,? Give us your own perception, ni ujinga uliokithiri kunukuu kila kitu bila kutengeneza mawazo yako binafsi kutokana na nukuu hiyo. JPM ni moja ya marais bora kuwahi kutokea katika karne ya leo. Demokrasia siyo kufanya mikutano na mandamano bila utaratibu, Katiba ipi inayosiginwa, ni ile ya 1977 ambayo CDM mliita ni Katiba kandamizi? Kama ni hiyo basi cdm hawana akili, angalia hii, kama katiba ya 1977 ni kandamizi basi ikifuatwa maana yake watu watakandamizwa au siyo? Je isipofuatwa watu wake watakuwa wamefanywa nini?
 
Ni aibu kubwa pia ni wendawazimu kudai kuwa eti kununuliwa ndege ni zao la wapinzani, upinzani umeshindwa kujenga hata ofisi za vyama hususan hiyo Saccos ya Chadema, leo hii iishsuri CCM chama Dume kununua ndege. Koma kafilie mbali na Lowasa wako.
Hahaha mkuu umewapa makavu live
 
Kuogoza Nyumbu hadi raha , unawaletea maigizo ya kushika UKUTA ili wakuachie nafasi ujigawie ruzuku ya chama hovyo.

Chadema mpaka Leo hawajapeleka gharama walizotumia kwenye uchaguzi mkuu.
Wizi mtupu.
 
Kwa muda mchache nimefuatilia siasa za JPM, na tafsiri ya moja kwa moja ni kwamba anaonekana kukwerwa kwa urahisi anapokosolewa, na amekuwa ana react excessively pale anapokosolewa kwa kiwango cha kawaida. Mfano tamko la operation Ukuta lilitolewa siku 1 lakini yeye ametumia zaidi ya wiki nzima kujibu wapinzani wake. Kutoa matamko makali na kutimiza dola kutumia nguvu kuthibiti Upinzani. Kwa aina hii ya siasa za JPM Upinzani unapaswa kuwa objective katika kukosoa ili kujijenga zaidi
Nakumbuka "colonialists planted seeds of its own destruction"
 
Kwa muelewa atanielewa. Lakini kwa shabiki wa chama kamwe hatanielewa.
Ni rahisi sana kwa chama tawala kuondolewa madarakani kwa kusitisha shughuli za kisiasa mara tu uchaguzi unapomalizika zaidi ya kuendelea na siasa wakati wananchi wanatakiwa kuwajibika.
Sababu kuu ni hii. Tanzania tupo watu takribani 50m. Watu hao wakigawanyika ifuatavyo ni rahisi sana kumpata rais bora pasipo kujali chama chake.
1. Wanachama wa chama tawala asilimia 25 ya wapiga kura.
2. Wanachama wa upinzani asilimia 25 ya wapiga kura.
3. Wasiyo na chama asilimia 50 ya wapiga kura.
Hawa wasiyo na chama kwa wingi wao wanao uwezo mkubwa wa kumpigia kura rais bora kutokana na sera za chama chake. Kwani wao hawana upande hivyo wataongozwa na sera bora za chama.
Lkn kung'ang'ania asilimia hamsini kwa hamsini ya Wanachama wa upinzani na chama tawala uwezekano wa chama tawala kushinda ni mkubwa sana. Ukitilia umuhimu wao wana dora na uwezo mkubwa wa kipato. Hivyo kuamuru kwamba chama tawala kimeshinda kwa 51% ni rahisi sana.
Lkn kubadili matokeo kama hawa 50% wote wameunga mkono upinzani ni ngumu, ngumu sana.
Hivyo wazo la Rais la kwamba tuachane na siasa hadi mda mjalabu wa siasa ukifika ni wazo sahihi sana. Lakini kwa sababu watz wengi tunatumia akili za viongozi wetu, hili hatutaliona umuhimu wake. Na hivyo ndiyo ilivyo kwa nchi za wenzetu zilizoendelea
 
Maniface katimua mbio, watu kama huyu manface huwa hawana hoja, ukimbana kidogo tu chaliii
 
You know what guys? Jpm is afraid of his own shadow. He knows the truth, that he is fraudulently residing in the white house. He knows the truth that the majority of us didn't vote for him.
He reads peoples face who are still nursing the vote rigging trauma - the trauma which is digging deeper with rhetoric threats made by the president every passing day.
He knows the truth that he is not in our hearts.
Karibuni Kebby kesho Ni mapumziko.
 
Magu atatusaidi sana kuimaliza CCM pengine kuliko hata JK.
Inaweekana uchaguzi ujao zitapigwa kura za wazi kura yako inakaguliwa palepale, ukionekana unaenda kinyume na matarajio lupango, maana wanafiki (wasiompigia kura) kwake ni adui No.1 Ndio maana alishinda uwenyekiti kwa 100%
 
Back
Top Bottom