Travelogue_tz
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 855
- 1,224
Kwa muda mchache nimefuatilia siasa za JPM, na tafsiri ya moja kwa moja ni kwamba anaonekana kukwerwa kwa urahisi anapokosolewa, na amekuwa ana react excessively pale anapokosolewa kwa kiwango cha kawaida.
Mfano tamko la operation Ukuta lilitolewa siku 1 lakini yeye ametumia zaidi ya wiki nzima kujibu wapinzani wake. Kutoa matamko makali na kutimiza dola kutumia nguvu kuthibiti Upinzani.
Kwa aina hii ya siasa za JPM Upinzani unapaswa kuwa objective katika kukosoa ili kujijenga zaidi