Upinzani hafifu usiokuwa na maana

Upinzani hafifu usiokuwa na maana

Epithelium

Member
Joined
Nov 20, 2020
Posts
45
Reaction score
38
Kila mtu ni shahidi wa mwenendo wa nchi hii hata wale wa anaupiga mwingi wanajua hilo,wanajifanya kuficha ukweli,wanaweka giza kwenye mwanga jambo ambalo haiwezekani, mafisaidi ndo viongozi wakubwa tena wanajifanya kondoo,kwa kifupi nchi imetekwa. Tunahitaji sana mabadiliko sasa shida inakuja kwenye watu wanaitwa sisi ni waupinzani(CHADEMA) ,hicho kikundi huu ndo ulikuwa muda wa kuingia Ikulu shida ni moja hawana misingi, wameshindwa kujua mtanzania anataka nini,kila mtu anajaribu kuwa mkubwa,uchu ni mkubwa , ni kama matapeli flani. Sote ni mashahidi kwa yanayoendelea mtu anatoka from now where analopoka lopoka tu, tunajua lengo ni zuri ,sisi tunataka solution na hzo solution ingetosha tuh hata kuzipendekeza ,siwezi kuwapigia upatu chadema waingie ikulu bora watawale ccm miaka yote sio hao jamaa,hao viongozi wao ni hatari.

Watu waelevu wanatafuta njia za kuweka mambo vzr lakini wapumbavu wao huwa wanatukana tu
 
Hapo mwishoni hujafafanua vzr, "hao viongoz wao ni hatari" Ili tuweze kujibu hoja yako vyema tuwekee evidence huo uhatari wa hao viongoz ili Taifa lijue kua CDM ina viongoz hatari! Tunaomba majibu kwa facts na evidence!
 
HANA USHAHIDI NI MROPOKAJI TU ILI ALIPWE AU APATE TEUZI
 
Hatari ya viongozi wa upinzani ni ipi??
 
Kila mtu ni shahidi wa mwenendo wa nchi hii hata wale wa anaupiga mwingi wanajua hilo,wanajifanya kuficha ukweli,wanaweka giza kwenye mwanga jambo ambalo haiwezekani, mafisaidi ndo viongozi wakubwa tena wanajifanya kondoo,kwa kifupi nchi imetekwa. Tunahitaji sana mabadiliko sasa shida inakuja kwenye watu wanaitwa sisi ni waupinzani(CHADEMA) ,hicho kikundi huu ndo ulikuwa muda wa kuingia Ikulu shida ni moja hawana misingi, wameshindwa kujua mtanzania anataka nini,kila mtu anajaribu kuwa mkubwa,uchu ni mkubwa , ni kama matapeli flani. Sote ni mashahidi kwa yanayoendelea mtu anatoka from now where analopoka lopoka tu, tunajua lengo ni zuri ,sisi tunataka solution na hzo solution ingetosha tuh hata kuzipendekeza ,siwezi kuwapigia upatu chadema waingie ikulu bora watawale ccm miaka yote sio hao jamaa,hao viongozi wao ni hatari.

Watu waelevu wanatafuta njia za kuweka mambo vzr lakini wapumbavu wao huwa wanatukana tu
Sukuma gang mmepigwa chenga matata sana hamuamini mlitaka jpm asifiwe wakati ndo alikuwa kirusi nchi hii. Katiba kura kila Jimbo ilimradi tuvbunge Liwe ccm tu ili abadilishe katiba na kuwa life pelresident Mungu akasema no.
 
Back
Top Bottom