Upinzani chutameni, mpo Uchi


Utawala huu wa wasukuma wawili haifuati sheria na katiba ya Nchi bali wanajitawalia kwa mujibu wa fikra binafsi za mtukufu malaika toka chato na Naibu Rais ndugu Daud Maliyamungu Bashite
 
Hoja uchwara! CCM kama mna hoja na sera zenye ushawishi mfuate katiba ya nchi inayotambua demokrasia ya vyama vingi, uhuru wa vyama vyote kufanya mikutano ya wazi na ya ndani. Halafu muitishe uchaguzi mkuu huru wenye haki.
 
Nshawaambia bendera fuata upepo hao ndio sera zao na jimbo lao la mtandaoni
 

2020 CCM itakuwa chama cha upinzani kama KANU ya kenya amini usiamini
 
Daaaaaah leo Dr. slaa mnampa tuhuma zote hizi,,,!!! licha ya mambo makubwa aliowafanyia chadema. ila ukweli utawaweka huru toka atoke dr slaaa Chadema Hamna kitu kabisa, mnakufa mnajiona, Chutameni tafadharini mnaumbukaaa
 
Kumbe unatambua kuwa humu kwenye mitandao ya kijamii tumewalaza chali nyinyi maccm??

Hivi unajua ni kwanini huko uraiani mnatamba nyinyi tu maccm??

Kwa kuwa mnabebwa na hao mapolisi wenu, wakati humu kwenye mitandao ya kijamii, is the only place where we dare to talk openly
 

Mitandaoni ndipo CCM hulazwa chali chali watetezi wao wengi ni mbumbumbu vilaza na wote wapo Gheto kwa cyprian Musiba wakilishwa na kukariri ujinga zaidi
 

Kufikiri kwako kumeishia hapo!!! Bado una safari ndefu kuukomaza ubongo wako kujenga hoja. Haya uliyoyaandika ni makapi.
 
uzuri ni kwamba sina chama sio ccm wala Chadema ila nimewaambia chutameni, hivyo ni uamuzi wenu kukimbia uchi au kuchutama msaidiwe kujisitiri
 
Bado haijawa hoja na kama Le mutuz kakuzuga ni hoja ujue Le mutuz ni kubwa jinga na endapo umekariri Tabia zake ujie umebugi kiasi cha kutisha
mbuzi mtoto na mbuzi mkubwa wote ni mbuzi tuu
 
Kufikiri kwako kumeishia hapo!!!
lete yako ww unaefikiri mpaka mbinguni ingawa mie natamani uniambie tu ajenda na sera zenu mnazozisimamia na kujipambanua basi, mpaka sasa mnaojiita ma great thinker sijaona mkinieleza hilo
 
Naungana na kila mtu anayelaumu mabaya ya Magufuli..... labda hii ni moja ya sera kuu? dont know
ila swali linabaki sera za upinzani ni zipi?
 
Rubbish
Unafikiri kila mtu anawaza mawazo yako
Mkimaliza kuua na kuteka kudhulumu na kuminya demokrasia ndio mje muandike huu upupu wenu
All I can say ' You are out of your mind'
 
Reactions: BAK
Embu soma tena ulichosoma kama utaelewa
 
Reactions: BAK
Matope kazini. Sera zipo lakini ruhusa ya upinzani kuwaeleza wananchi hakuna! Kutwa kuchwa ni wao kupita kuwadanganya wananchi huku wakiwaomba wawaunge mkono kwa nguvu. Polisi, tbc na mahakama vimekuwa vyombo vyao vya kukandamiza upinzani. Mpaka kichefuchefu kwa yanayoendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…