kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,550
- 2,381
Na alishinda mkampora ..safar hii mtalimia menoLowasa alikuwa anakusanya mara mia ya hao,
Na alishinda mkampora ..safar hii mtalimia menoLowasa alikuwa anakusanya mara mia ya hao,
Wasalaam,
The same Scenario ya 2015 nimeshangaa sana inajirudia kwa kasi Watu wako wanajadili namna ya wagombea wakipokelewa mikoani kwa umati mkubwa.
CHADEMA mna cha kujifunza uchaguzi wa Mwaka 2015 ila ni dhahiri mmeonekana kuyasahau mafunzo hayo hadi sasa Mnamuona Lissu ndiye mshindi na Kuangali miji aliyotembelea na Kupima kura zake kwa Umati.
Uzi tayari, Tukutane Oktoba 28 kila mtu ashinde mechi zake.
Nani wa kumshinda Magufuli? Lisu?Na alishinda mkampora ..safar hii mtalimia meno
Mamvi alishinda uchaguzi, goli la mkono ndiyo lilimsaidia Jiwe!Wasalaam,
The same Scenario ya 2015 nimeshangaa sana inajirudia kwa kasi Watu wako wanajadili namna ya wagombea wakipokelewa mikoani kwa umati mkubwa.
CHADEMA mna cha kujifunza uchaguzi wa Mwaka 2015 ila ni dhahiri mmeonekana kuyasahau mafunzo hayo hadi sasa Mnamuona Lissu ndiye mshindi na Kuangali miji aliyotembelea na Kupima kura zake kwa Umati.
Uzi tayari, Tukutane Oktoba 28 kila mtu ashinde mechi zake.
Ujinga ni kununua ndege na kujenga madaraja lkn ukashindwa kuyatolea maelezo umejengaje jengaje ?? Ukihojiwa unaua watu na kuwafungaUnafurahia ujinga mkuu! Kama ule wa 2015.
Mizuka na mihemuko ndio inakufanga ufurahi,
Subiri oktoba utaumia vibaya sana
Hawa jamaa siasa zimesha washinda tangu 2010 wanaibaiba tu halfu wanakuja kujisifu humu jukwaaniHuyo inawezekana hata hapa jf na mambo ya siasa alikuwa bado hajayajua
Subiri oktoba! Watz wanataka maendeleo,!Ujinga ni kununua ndege na kujenga madaraja lkn ukashindwa kuyatolea maelezo umejengaje jengaje ?? Ukihojiwa unaua watu na kuwafunga
Magufuri aache uoga ..aache kuminya uhuru wa vyombo vya habar ..aache kuteka washindani wake wa kisiasa ..Nani wa kumshinda Magufuli? Lisu?
Unatania wewe
Hawa jamaa siasa zimesha washinda tangu 2010 wanaibaiba tu halfu wanakuja kujisifu humu jukwaaniHuyo inawezekana hata hapa jf na mambo ya siasa alikuwa bado hajayajua
Wasalaam,
The same Scenario ya 2015 nimeshangaa sana inajirudia kwa kasi Watu wako wanajadili namna ya wagombea wakipokelewa mikoani kwa umati mkubwa.
CHADEMA mna cha kujifunza uchaguzi wa Mwaka 2015 ila ni dhahiri mmeonekana kuyasahau mafunzo hayo hadi sasa Mnamuona Lissu ndiye mshindi na Kuangali miji aliyotembelea na Kupima kura zake kwa Umati.
Uzi tayari, Tukutane Oktoba 28 kila mtu ashinde mechi zake.
From Tallying Centre
View attachment 1534443View attachment 1534443
October ni polisi na chadema sio ccm ..hata magufuri analijua hilo sio muimba mapambioSubiri oktoba! Watz wanataka maendeleo,!
Kama wewe unataka mahesabu nenda kasomee uhasibu utaajiriwa kufanya hayo
Acha wenge wewe na bado subiri mafuriko zaidi ya ENL 2015! Mbona Mikutano ya Hashim Rungwe(Mzee wa Kugawa Ubwabwa) haina mafuriko? Relax Tuliza Wenge dawa iwaingie.
Unaongea kwa kukata tamaa sana,,Magufuri aache uoga ..aache kuminya uhuru wa vyombo vya habar ..aache kuteka washindani wake wa kisiasa ..
Bora utoto wa wapinzani kuliko ukichaa wa ccmMgombea wa Chadema anadedeka na wafuasi wake wana utoto mwingi
Endelea kujifariji kipigo kipo palepaleOctober ni polisi na chadema sio ccm ..hata magufuri analijua hilo sio muimba mapambio
Ndo aliyemtumia wauaji , lkn mungu akasema no no nooooooUnaongea kwa kukata tamaa sana,,
Lisu ndio huyo anachanja mbuga ila cha ajabu kila anapopata nafasi ya kuhutubia, hotuba nzima ni Magufuli tu,!
Mwambieni wananchi wanataka kusikia kabeba nini kichwani kwake
Endelea kuimba mapambio ya utupoloEndelea kujifariji kipigo kipo palepale
Mwambie wananchi wanataka kujua amebeba nini kichwani juu ya tz,Ndo aliyemtumia wauaji , lkn mungu akasema no no noooooo
Katika hii mikutano, iwe ya CCM, CHADEMA, HASHIM RUNGWE, n.k - wanaenda watu wa tabaka za vyama mbali mbali na wengine hawana vyama! Hivyo mkiona watu wamejazana, siyo kwamba ni wa chama husika! Wengine ni watoto na wengine ni wapenda shughuli tu. Na usikute wanachama wakawa wachache mno.Siku zote chakula Cha kushiba huonekana kwenye sahani ..si mlisema chadema imekufa??? Hao ni nani
Nikishamchinja Jiwe kwenye sanduku la kura ndio furaha yangu itakamilika!Unafurahia ujinga mkuu! Kama ule wa 2015.
Mizuka na mihemuko ndio inakufanga ufurahi,
Subiri oktoba utaumia vibaya sana