Uchaguzi 2020 Upinzani bado wana mentality ya kujaza umati ndiyo kukubalika

Kama inakuuma chomoa kimbia.
Wasalaam,

The same Scenario ya 2015 nimeshangaa sana inajirudia kwa kasi Watu wako wanajadili namna ya wagombea wakipokelewa mikoani kwa umati mkubwa.

CHADEMA mna cha kujifunza uchaguzi wa Mwaka 2015 ila ni dhahiri mmeonekana kuyasahau mafunzo hayo hadi sasa Mnamuona Lissu ndiye mshindi na Kuangali miji aliyotembelea na Kupima kura zake kwa Umati.

Uzi tayari, Tukutane Oktoba 28 kila mtu ashinde mechi zake.
 
Mamvi alishinda uchaguzi, goli la mkono ndiyo lilimsaidia Jiwe!
 
Mgombea wa Chadema anadedeka na wafuasi wake wana utoto mwingi
Wasalaam,

The same Scenario ya 2015 nimeshangaa sana inajirudia kwa kasi Watu wako wanajadili namna ya wagombea wakipokelewa mikoani kwa umati mkubwa.

CHADEMA mna cha kujifunza uchaguzi wa Mwaka 2015 ila ni dhahiri mmeonekana kuyasahau mafunzo hayo hadi sasa Mnamuona Lissu ndiye mshindi na Kuangali miji aliyotembelea na Kupima kura zake kwa Umati.

Uzi tayari, Tukutane Oktoba 28 kila mtu ashinde mechi zake.

From Tallying Centre
View attachment 1534443View attachment 1534443
 
Magufuri aache uoga ..aache kuminya uhuru wa vyombo vya habar ..aache kuteka washindani wake wa kisiasa ..
Unaongea kwa kukata tamaa sana,,

Lisu ndio huyo anachanja mbuga ila cha ajabu kila anapopata nafasi ya kuhutubia, hotuba nzima ni Magufuli tu,!

Mwambieni wananchi wanataka kusikia kabeba nini kichwani kwake
 
Ndo aliyemtumia wauaji , lkn mungu akasema no no noooooo
 
Mwambie wananchi wanataka kujua amebeba nini kichwani juu ya tz,

Habari ya Magu kutuma watu wampige tukishasikia miaka 3 iliyopita. Sasa ni wakati wa kusikia ana nini juu ya tz,

Habari za Magu ni useless
 
Siku zote chakula Cha kushiba huonekana kwenye sahani ..si mlisema chadema imekufa??? Hao ni nani
Katika hii mikutano, iwe ya CCM, CHADEMA, HASHIM RUNGWE, n.k - wanaenda watu wa tabaka za vyama mbali mbali na wengine hawana vyama! Hivyo mkiona watu wamejazana, siyo kwamba ni wa chama husika! Wengine ni watoto na wengine ni wapenda shughuli tu. Na usikute wanachama wakawa wachache mno.
 
Unafurahia ujinga mkuu! Kama ule wa 2015.
Mizuka na mihemuko ndio inakufanga ufurahi,

Subiri oktoba utaumia vibaya sana
Nikishamchinja Jiwe kwenye sanduku la kura ndio furaha yangu itakamilika!
 
Back
Top Bottom