Nyie ni wale wapumbavu mnaomfunga mtu kamba miguu na mikono halafu mnampiga mkimaliza mnakwenda kujigamba mtaani kwamba ni wapiganaji wazuri. Sijui ni mjinga nani atajigamba kwa ushindi wa ccm dhidi ya wapinzani wakati wapinzani wamefungiwa kufanya siasa na tena wengine wamepigwa risasi na kuvunjwa miguu na majeshi ya serikali. Ccm acheni upumbavu.Kubali au usikubali, ushindi wa CCM kwa nafasi ya Urais haina mjadala. JPM atashinda kwa kishindo.
Busara zingetumika kwa wapinzani wasome alama za nyakati na wakae pembeni ili JPM apite bila kupingwa na fedha za kampeni afanyie vitu vya maana kwa maendeleo ya nchi.
Msionyeshe uwepo wenu, tunawajua kwamba mpo na mtaendelea kuwepo.
"Fomu zetu {za kugombea Uraisi) tutachukulia hapa, ila mnaweza mkaamua msichukue mseme Magufuli amepita ili fedha hizo zifanyie kazi nyingine."-Rais Dkt. @MaguguliJP akizungumza na viongozi wa vyama vya siasa kwenye uzinduzi wa jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).Nyie ni wale wapumbavu mnaomfunga mtu kamba miguu na mikono halafu mnampiga mkimaliza mnakwenda kujigamba mtaani kwamba ni wapiganaji wazuri. Sijui ni mjinga nani atajigamba kwa ushindi wa ccm dhidi ya wapinzani wakati wapinzani wamefungiwa kufanya siasa na tena wengine wamepigwa risasi na kuvunjwa miguu na majeshi ya serikali. Ccm acheni upumbavu.
Si huwa mnasema upinzani umekufa , sasa kitu kilichokufa kinawaletea vipi kivuli ?Kubali au usikubali, ushindi wa CCM kwa nafasi ya Urais haina mjadala. JPM atashinda kwa kishindo.
Busara zingetumika kwa wapinzani wasome alama za nyakati na wakae pembeni ili JPM apite bila kupingwa na fedha za kampeni afanyie vitu vya maana kwa maendeleo ya nchi.
Msionyeshe uwepo wenu, tunawajua kwamba mpo na mtaendelea kuwepo.
Naunga mkonoKubali au usikubali, ushindi wa CCM kwa nafasi ya Urais haina mjadala. JPM atashinda kwa kishindo.
Busara zingetumika kwa wapinzani wasome alama za nyakati na wakae pembeni ili JPM apite bila kupingwa na fedha za kampeni afanyie vitu vya maana kwa maendeleo ya nchi.
Msionyeshe uwepo wenu, tunawajua kwamba mpo na mtaendelea kuwepo.
Kama ni hivi, si bora sasa kweli wakamwacha Magu apite bila kupingwa?Sijui ni mjinga nani atajigamba kwa ushindi wa ccm dhidi ya wapinzani
Kwahio mlivyoshindwa kuprint form za wengine ndio mnataka mfanye hadi kwa wenzenu?? Aagh wapiKubali au usikubali, ushindi wa CCM kwa nafasi ya Urais haina mjadala. JPM atashinda kwa kishindo.
Busara zingetumika kwa wapinzani wasome alama za nyakati na wakae pembeni ili JPM apite bila kupingwa na fedha za kampeni afanyie vitu vya maana kwa maendeleo ya nchi.
Msionyeshe uwepo wenu, tunawajua kwamba mpo na mtaendelea kuwepo.
Jifunze kuandika kwanza, kisha uwe na akili, yaani wewe huangalii maslahi mapana ya nchi unaangalia mtu, pumbavu zako, halafu unasema eti hatuna "akiri"!!!Kama ni hivi, si bora sasa kweli wakamwacha Magu apite bila kupingwa?
Moyoni unakubali upinzani watashindwa isipokuwa shida yako ni CCM majigambo Yao dhidi ya ushindi mwaka huu hayatakuwa na Maana yoyote!!
Wapinzani kweli akiri hamna, mmebaki ni vijihasira vya kijiiinga Hadi kero!!!
Sasa Kwa tarifa yako Kwa mwaka huu, si ushindi wa Kishindo pekee wa Raisi tu, Bali Hadi Kwa wabunge!!
Binafs, Siku Magufuli akihama CCM ama Uraisi wake utakapokoma, nitakuwa mpinzani rasimi
Kwa sasa ukimsema vibaya Huyu Rais panapowezekana tutakula sahani moja
Nadhani ww ndo mpumbavu wa mwisho ndani ya ccm...hakuna Kama ww ..kachukue b7 bc maisha yaendeleeKubali au usikubali, ushindi wa CCM kwa nafasi ya Urais haina mjadala. JPM atashinda kwa kishindo.
Busara zingetumika kwa wapinzani wasome alama za nyakati na wakae pembeni ili JPM apite bila kupingwa na fedha za kampeni afanyie vitu vya maana kwa maendeleo ya nchi.
Msionyeshe uwepo wenu, tunawajua kwamba mpo na mtaendelea kuwepo.
Narudia tena, wapinzani mmebaki kama wajinga hasa wewe, unavijihasira vya kijiiinga Hadi huruma, Tema mate Chini mkuuJifunze kuandika kwanza, kisha uwe na akili, yaani wewe huangalii maslahi mapana ya nchi unaangalia mtu, pumbavu zako, halafu unasema eti hatuna "akiri"!!!
Kivuli kitakuwepo pale watakapo mfanya JPM aanze mizunguko ya kampeni bila sababu wakati ushindi ni wa wazi. Na si wawazi tu bali kazi aliyo ifanya JPM kwa kipindi cha miaka mitano na dalili za kuendelea kufanya vizuri zipo. Huyu Jamaa hana rafiki mzembe na mla rushwa. Hawezi kutuangusha. Kwenye maendeleo ya kweli lazima watu wengine tukubali kuumia kwa kutoka jasho wakati mwingine hata damu. Si damu kwa kuchinjwa au kupigwa risasi lakini ni maumivu tunayo yapitia katika kipindi cha mpito ili maendeleo ya kweli yapatikane. Kwa wapinzani kutogombea nafasi ya urais kwao itakuwa ni kutokwa na jasho/damu kweli kweli. Nina uhakika jasho/damu itakayowatoka hawataijutia maana makubwa yatafanyika kwa maendeleo ya nchi. Tunajua sana umuhimu wa vyama vya upinzani. Kwa kipindi hiki cha miaka mitano ijayo waitumie kwa kujiimarisha zaidi na nina imani Serikali ya JPM itatoa support sana katika hili. Yapo mengi yaliyofanyika na yaliibuliwa na wapinzani. Sasa niwakati wa kujikarabati na muwe tayari kwa ushindani wa kweli mwaka 2025. Tafakari na chukueni hatua. Mwenyezi Mungu atawabariki sana.Si huwa mnasema upinzani umekufa , sasa kitu kilichokufa kinawaletea vipi kivuli ?
Hahahaha sijawahi kutema mate chini, kuna sehemu za kutemea! Kuna mjinga flani hivi alikua anasifia ujinga hivi hivi kisha baadae akanifuata oogh sina nauli, sina sijui ujinga gani, maisha yamekua magumu, nikaishia kumcheka tu!Narudia tena, wapinzani mmebaki kama wajinga hasa wewe, unavijihasira vya kijiiinga Hadi huruma, Tema mate Chini mkuu
Kubali au usikubali, ushindi wa CCM kwa nafasi ya Urais haina mjadala. JPM atashinda kwa kishindo.
Busara zingetumika kwa wapinzani wasome alama za nyakati na wakae pembeni ili JPM apite bila kupingwa na fedha za kampeni afanyie vitu vya maana kwa maendeleo ya nchi.
Msionyeshe uwepo wenu, tunawajua kwamba mpo na mtaendelea kuwepo.
Mkuu, haya ni ya mitandaoni tu mkuu, tukionana mkuu nikiwa nimetaitika sjui kama utanipita tu ingawa na Mimi namshukuru Mungu Kwa kiasi Niko tu vizuri, Ila uzuri nilonao sio sababu ya kukosa au kukumbana na shidaHahahaha sijawahi kutema mate chini, kuna sehemu za kutemea! Kuna mjinga flani hivi alikua anasifia ujinga hivi hivi kisha baadae akanifuata oogh sina nauli, sina sijui ujinga gani, maisha yamekua magumu, nikaishia kumcheka tu!
Wapinzani sio wote ni wajinga, ni mmoja mmoja kama wewe!!Kama wapinzani ni wapumbavu basi nyie CCM ni mataahira kabisaaaaa
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
NakuSoma Vyema Paul, wala usijali tuombeatuombeane uzima! At the end of the day wote tunabaki kuwa ndugu! Mungu kwanza!!Mkuu, haya ni ya mitandaoni tu mkuu, tukionana mkuu nikiwa nimetaitika sjui kama utanipita tu ingawa na Mimi namshukuru Mungu Kwa kiasi Niko tu vizuri, Ila uzuri nilonao sio sababu ya kukosa au kukumbana na shida
Heshima kwako mkuu
Halafu wanawatabiria wapiga kura. CCM ukiwambia tume huru hiyooo! wanakimbiaNyie ni wale wapumbavu mnaomfunga mtu kamba miguu na mikono halafu mnampiga mkimaliza mnakwenda kujigamba mtaani kwamba ni wapiganaji wazuri. Sijui ni mjinga nani atajigamba kwa ushindi wa ccm dhidi ya wapinzani wakati wapinzani wamefungiwa kufanya siasa na tena wengine wamepigwa risasi na kuvunjwa miguu na majeshi ya serikali. Ccm acheni upumbavu.