Ndugu zangu wa upinzani, hivi tumefikaje hapa?
Upinzani mahiri uliotikisa chama tawala kabla ya 2015 sasa umesambaratika kiasi hiki cha kurundikwa kundi moja na wakina ACACIA na wahujumu uchumi?
Mliteleza wapi maswahiba wangu?
Najua kuna watu ndani ya upinzani wenye uelewa wa kindani sana kuliko mimi kuhusu mikakati ya kisiasa. Hivyo basi sitathubutu kuwaelekeza cha kufanya ili kuliokoa hili basi la upinzani lisiingie mtaroni.
Ninachoweza kusema tu ni kuwa muwe wakweli kuhusu uchaguzi wa 2020.
Nawasihi msipoteze rasilmali zenu nyingi kwenye kiti cha uraisi. Njia ya kwenda Magogoni imeota mbigiri ndugu zangu. Cut your losses please.
Nafikiri pia muangalie ni viti gani vya ubunge vinapaswa kupiganiwa kwa nguvu zote - hapa sina uhakika. Madiwani wapiganiwe kwa nguvu zote na pengine resources nyingi zinaweza kuelekezwa huko.
Kwa sasa tafuteni mikakati mbadala (counter narratives) ya kuwaletea wananchi maendeleo na sio kufuata chambo cha kupinga maamuzi yote ya raisi Magufuli.
Labda hiki hamtakifurahia lakini Raisi Magufuli is for real. He is not fake and is resolute in his governance. Watanzania wamekiona hiki na kwa kumpinga wholesale ni kuwapinga Watanzania. Don't do it.
La mwisho.
Kuna vijana wenu mumewaweka huku mtandaoni kujibu mapigo. Wengi wa hawa ni marika ya wajukuu au watoto wetu. Huwezi kuamini mitusi tunayozabwa nayo. I guess hii ndio price ya kushiriki kwenye anonymous social media kama JF. Mimi binafsi, hayaniumizi hata kidogo. Tatizo ni kuwa sijui wengine wanalichukuliaje.
This is neither here nor there. Nitaliacha kama lilivyo.
Mimi sina chama. Chukueni kinachowafaa, tupeni yaliyobaki.
Wa-khatab-a-hu
Kifyatu.