Upigaji wa vyombo vya muziki....

Upigaji wa vyombo vya muziki....

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,107
Nipo hapa DSM maeneo ya kigamboni natamani kama ningepata mtu wa kuweza kunifundisha kupiga vyombo vya muziki kuanzia keyboard, guiter, drums na vingine. Mwenye kuelewa sehemu anielekeze.
 
Achana na wazo la Bishanga skiza langu stevoh, nenda chuo cha mziki Bagamoyo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom