Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,845
Kwamba "msela" nae anataka aoe! mmh wanawake mna kazi kwel.
Unique Flower nawewe ni msela?
Unique Flower nawewe ni msela?
Yes ,mie ni msela nikuoeKwamba "msela" nae anataka aoe! mmh wanawake mna kazi kwel.
Unique Flower nawewe ni msela?
Ndoa ya wasela inakuwaje kuwaje vileYes ,mie ni msela nikuoe
Utajua siku ikifika Sasa unaniuliza mimiNdoa ya wasela inakuwaje kuwaje vile
mselaUtajua siku ikifika Sasa unaniuliza mimi
Kweli kama hujui kuongea sharobaro watoto watakuwaje ??msela
baba na mama "wasela" ,tutarajie watoto "masharobalo"
Mimi kama ndugu wa mume nasapoti hoja hiiAisee!.
Fanya makosa yote, ila muepuke sana mwanamke mjuaji. Narudia tena, epuka mwanamke mjuaji.
Ni aidha mtaachana kwa shari au uende lupango.
Ndoa ni nzuri sana ukimpata mume/mke mcha Mungu.Maisha ya ndoa yalikusudiwa kuwa ya furaha na kuleta utulivu kwa wanandoa.Tatizo kubwa sana ni pale tunapokosea kufanya uchaguzi wa nani umuoe au nani akuoe.ila HATUPASWI kuiogopa ndoa,Tuombe tupate wake/waume wacha Mungu.Aiseee hili swala la ndoa n shughuli nadhan kuielewa n mpaka uoe/kuolewa.
Sijui itakuwaje [emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee!.
Fanya makosa yote, ila muepuke sana mwanamke mjuaji. Narudia tena, epuka mwanamke mjuaji.
Ni aidha mtaachana kwa shari au uende lupango.
kama yeye hakulelewa kwenye ndoa unadhani ataona umuhimu wa ndoa?miaka ijayo tutakuwa na kizazi cha ovyoKwa hiyo wewe unataka uishi bila ndoa kama kuku vile - kisa kuepuka changamoto?
Wanafake uhalisia wao kipindi wanaisaka Ndoa huficha makucha zao oa sasa mzae utajua hujui japo awali ulijua unajuakabla ya kuoa ni vyema ukajua madhaifu ya mwenza wako ukiona utayavumilia sawa,usije ukasema nikishamuoa hana ujanja atabadilika.
Mwanamke wa kuepuka ni mvivu,mchafu,mwenye mdomo,anayetaka haki sawa na mjuaji,asiwe mlevi.4