Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,850
- 2,444
ATLANTIS BLANCH....AND MIGRATIONAtlantis {Inavyosemekana}, ilikua the moja ya Advanced Civilizations za zamani(Tuseme ilikua the most advanced civilization zamani). Kilichowakuta watu waliokua wakiishi Atlantis hakujulikani hadi leo, kilichobaki ni ushahidi tu kuwa kulikuwa na civilization ambayo ilikuwa mbali sana kiteknolojia, Sayansi , Astrology NK
Baadhi ya theory za kupotea kwa Atlantis ni The great Flood(Habari za Nuhu Kwenye Bible), Kuzama kwa Bara chini ya bahari(Kwa wanaojua Geography), Barafu ETC.
Ila location Halisi ya Atlantis haijulikani vizuri hadi sasa (Labda inajulikana ila inafanywa siri kubwa na serikali kubwa like US).
Baada ya Atlantis kuna advanced civilization nyingine zilikuja kama vile Babylon ambayo ilikuwa Iraq.
Unajua marekani kufanya vita na Iraq...Wameiba museum artifacts nyingi sana kutoka Iraq, hadi leo Iraq wanaendesha kesi UN dhidi ya US ili warudishe walivyoiba?
Ukiacha mafuta, Marekani ilionekana imevutiwa sana na vitu vya kale vya Iraq.
Unajua wakati vitabu vyetu vinasema tulikuwa tunakula mizizi na matunda kuna Ushahidi Binadamu walikuwa wanatumia umeme? Hivyo vitu vinachanganya sana wana research. Na hiyo ndo sababu Atlantis, Babylon na Mayyans(Kama sijaosea spelling), imekuwa changamoto kwa wana sayansi.
Ukiongelea Atlantis ndo pale Sayansi inapokutana na Miujiza na kuwa kitu kimoja.
[emoji15] [emoji15] [emoji15]ATLANTIS walikuwa na izo settlite, umeme tena ni wire less,ndege za anga meli,yaani kila kitu unachokiona leo tena ni zaidi yetu na ndomana PLATO alidiliki kusema walikuwa na ujuzi zaidi yetu.
Kama umeweza kuamini bibilia ukishindwa kuamini aya mambo bora utulie tu.[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Tutahaminije mkuu kama hivyo unavyosema vilikuwepo
Mmmh mkuu kwenye biblia kuna uthibitisho wa vitu vingi ambavyo vipo mbaka hii leoKama umeweza kuamini bibilia ukishindwa kuamini aya mambo bora utulie tu.
Alafu kuhusu huyu jamaaa plato nilimsikiaga marehemu shkeih yahaya enzi hizo kwenye kipindi chake alisema huyu jamaa anadamu ya alien sasa sijajua kwa upande wako unamzungumziaje maana najiuliza swali aliwezaje kujua kuhusu ilo bara na wakati yeye hakuwepo!!?ATLANTIS walikuwa na izo settlite, umeme tena ni wire less,ndege za anga meli,yaani kila kitu unachokiona leo tena ni zaidi yetu na ndomana PLATO alidiliki kusema walikuwa na ujuzi zaidi yetu.
Hivi chanzo cha Atlantis kuzama ni kipi hasa?Ndio Atlantis imezama pale. Itainuka kama ilivyozama ikitokea world war three. Masayantisti wanapopita pale, they can detect it with their instruments.
Indeed watu watanyukana kwa makusudi, kwa sababu wanataka kuiinua Atlantis, kwa sababu kuna habari pale kuhusu intergalactic travel.
Wanalirudishaje hilo bara kama lishatowekaBara la Atlantis kipindi cha Nuhu kurudi nyuma lilikua likitumiwa kama Base/makazi ya Viumbe waliopatikana baada ya Fallen angels kuingiliana kingono na binaadam (WANEFILI)
Baadae lilipotea hilo bara na kubaki barafu tu lakini mpango uliopo sasa hv under secret societies (Iluminat) ni kulirudisha tena na kurudisha Nephilism bloodline. Soon we are reached NWO
Kama vipi?+Mmmh mkuu kwenye biblia kuna uthibitisho wa vitu vingi ambavyo vipo mbaka hii leo
Wanafalsafa huwa ni uchembe wa ugineus... Kuna mmoja alikua akiitwa kama edgar cayce ivi japo ckumbuki vizr huyu pia alikua hivyo alikuwa na uwezo wa kulalia kitabu tu na kumeza vyote vilivyomo ndani ya kita pasipo kukifungua,pia huwa wanaupeo mkubwa sana kurewind memor kiroho..Alafu kuhusu huyu jamaaa plato nilimsikiaga marehemu shkeih yahaya enzi hizo kwenye kipindi chake alisema huyu jamaa anadamu ya alien sasa sijajua kwa upande wako unamzungumziaje maana najiuliza swali aliwezaje kujua kuhusu ilo bara na wakati yeye hakuwepo!!?
AtlantisAtlantis {Inavyosemekana}, ilikua the moja ya Advanced Civilizations za zamani(Tuseme ilikua the most advanced civilization zamani). Kilichowakuta watu waliokua wakiishi Atlantis hakujulikani hadi leo, kilichobaki ni ushahidi tu kuwa kulikuwa na civilization ambayo ilikuwa mbali sana kiteknolojia, Sayansi , Astrology NK
Baadhi ya theory za kupotea kwa Atlantis ni The great Flood(Habari za Nuhu Kwenye Bible), Kuzama kwa Bara chini ya bahari(Kwa wanaojua Geography), Barafu ETC.
Ila location Halisi ya Atlantis haijulikani vizuri hadi sasa (Labda inajulikana ila inafanywa siri kubwa na serikali kubwa like US).
Baada ya Atlantis kuna advanced civilization nyingine zilikuja kama vile Babylon ambayo ilikuwa Iraq.
Unajua marekani kufanya vita na Iraq...Wameiba museum artifacts nyingi sana kutoka Iraq, hadi leo Iraq wanaendesha kesi UN dhidi ya US ili warudishe walivyoiba?
Ukiacha mafuta, Marekani ilionekana imevutiwa sana na vitu vya kale vya Iraq.
Unajua wakati vitabu vyetu vinasema tulikuwa tunakula mizizi na matunda kuna Ushahidi Binadamu walikuwa wanatumia umeme? Hivyo vitu vinachanganya sana wana research. Na hiyo ndo sababu Atlantis, Babylon na Mayyans(Kama sijaosea spelling), imekuwa changamoto kwa wana sayansi.
Ukiongelea Atlantis ndo pale Sayansi inapokutana na Miujiza na kuwa kitu kimoja.
Nimeuona mkuu ila swali langu linabaki pale pale WAPI kwenye biblia inasema wana wa Mungu ni malaika au wapi inasema wana wa Mungu hawakuwa binadamu mkinionyesha hilo tu ntaamini kweli wanefili ni zao la malaika waliozaa na wanadamuHUU UZI BOMBA ILA MMEKUWA WAZEMBE KULETA RESEARCH ZENU.
CC:
zito....niliyokwambia kuhusu fallen angel au wana wa mungu ni hii hapa katika hadithi za bibilia.
Mtu aliyesoma aliyesoma hadithi za bibilia ni tofauti na aliye soma bibilia takaktifu...na huyu aliesoma hadithi ana uafadhari kuliko uyo aliekomaa kwenye bibilia takatifu.....cc;zito uthibitisho huo nadhani umeuona.
1. Wanadai gharika la Nuhu lilioambatana na matetemeko yalisababisha lizame chini ya bahariHivi chanzo cha Atlantis kuzama ni kipi hasa?
Yes Al watan it's always important to separate myths from facts however i do believe most FACTS eventually started as myths till they gained recognition and basic factual findings to support its course ..... Even gallileo's theory of a spherical earth was once regarded as a MYTH till later scientist proved otherwise !!!Please, separate fiction/mythology from fact/science.
If you want to read mythology and fiction,read Atlantis.If you want to read science and facts, read Continental Drift.
Atlantis - Wikipedia
Atlantis (Ancient Greek: Ἀτλαντὶς νῆσος, "island of Atlas") is a fictional island mentioned within an allegory on the hubris of nations in Plato's works Timaeus and Critias, where it represents the antagonist naval power that besieges "Ancient Athens", the pseudo-historic embodiment of Plato's ideal state (see The Republic). In the story, Athens repels the Atlantean attack unlike any other nation of the (western) known world,[1] supposedly giving testament to the superiority of Plato's concept of a state.[2][3] The story concludes with Atlantis falling out of favor with the deities and submerging into the Atlantic Ocean.
Continental drift - Wikipedia
Continental drift is the movement of the Earth's continents relative to each other, thus appearing to "drift" across the ocean bed.[2] The speculation that continents might have 'drifted' was first put forward by Abraham Ortelius in 1596. The concept was independently and more fully developed by Alfred Wegener in 1912, but his theory was rejected by some for lack of a mechanism (though this was supplied later by Arthur Holmes). The idea of continental drift has been subsumed by the theory of plate tectonics, which explains how the continents move.[3]
Endelea kufunguka mkuu tupate darasa murua..... Unaposema wanataka kuiinua una maana itaibuka kutoka baharini au wanacopy na kupaste utawala wa kipindi hichoNdio Atlantis imezama pale. Itainuka kama ilivyozama ikitokea world war three. Masayantisti wanapopita pale, they can detect it with their instruments.
Indeed watu watanyukana kwa makusudi, kwa sababu wanataka kuiinua Atlantis, kwa sababu kuna habari pale kuhusu intergalactic travel.