Upi ni muda mrefu uliokaa bila kufanya mapenzi?

Tangu niyafahamu mapenzi sijawahi kukaa mda mrefu namna hii bila kushiriki, mpaka sasa ni miezi miwili sasa nimejikuta tu nimeshazoea nadhani naweza kumaliza hata mwaka.

Kwako mdau upi ni muda mrefu zaidi uliowahi kukaa bila kufanya mapenzi?
Mabaharia tushazoea now natimiza miezi tisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…