Upi ni msimamo wa BAKWATA kuhusu Katiba ya Sitta?

Upi ni msimamo wa BAKWATA kuhusu Katiba ya Sitta?

Seif al Islam

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
2,156
Reaction score
640
Tayari tumesikia na kuona kwenye vyombo vingi vya habari na hata social medias viongozi wa kikristo hususani wakatoliki wakiweka msimamo wa wazi wakipinga vikali katiba ya sitta na hata kwenda mbali zaidi na kutangaza kuongoza kampeni ya hapana dhidi ya katiba ya Sitta.

Sasa ni muhimu kujua ni upi msimamo wa waislamu/BAKWATA katika jambo hili ili kuondoa mkanganyiko na taarifa nyingi za kupotosha kutoka kwa watu wasio waislamu.
 
Bakwata huwa wanasimama na Serikali, ambayo nadhani inasema 'ndiyoooo' kwa katiba ya Sitta.
 
BAKWATA bure kabisa , hawa ndio Sisiem wenyewe
 
Usiangaike Mkuu. BAKWATA sio Waislamu ni Makafiri kama Sheikh JONGO. Wao wanawaza kula tu.
 
Mwenye kujifananisha nao ni kati yao, mkuu ypo sahihi

Shekhe uko sahihi, hiyo ni hadithi sahihi ya mtume inasema. "mantashabbah biqaumin fahuwa min hum " yani mwenye kujifananisha na watu flani, basi nae ni miongoni mwao, BAKWATA hawajawahi kusimama kuwatetea waislamu, au uislamu, hata kusimama kuinyoshea serikali, na hii ni kwa sababu moja tu, wanajua kuwa hawakubaliki kwa waislamu wenye kujitambua, hivyo lazima wajikoshe kwa serikali ili kupata ulinzi siku tukitaka kuwachomoa mimbari
 
Binafsi huwa naingiwa na wivu ninapoona maaskofu /wachungaji wanasimama kuinyoshea serikali kidole, bakwata siyo, we angalia hata dua aliyoomba leo shehe wa bakwata pale dodoma
 
Chama Cha Mapinduzi kina jumuiya zake ambazo ni:

Umoja wa Wanawake
Umoja wa Vijana
BAKWATA
Jumuiya ya Wazazi
Tume ya uchaguzi ya Taifa
Polisi

Sasa unataka BAKWATA iseme nini?
 
Si sahihi kuwaita bakwata makafir usirudie tena

Sisi wala nguruwe ndo makafiri, na mauzo ya kitimoto haitalipa mishahara ya mahakimu wa kadhi. tutajengea shule za kata, maabara, na jeshi la ulinzi na usalama.
 
Shekhe uko sahihi, hiyo ni hadithi sahihi ya mtume inasema. "mantashabbah biqaumin fahuwa min hum " yani mwenye kujifananisha na watu flani, basi nae ni miongoni mwao, BAKWATA hawajawahi kusimama kuwatetea waislamu, au uislamu, hata kusimama kuinyoshea serikali, na hii ni kwa sababu moja tu, wanajua kuwa hawakubaliki kwa waislamu wenye kujitambua, hivyo lazima wajikoshe kwa serikali ili kupata ulinzi siku tukitaka kuwachomoa mimbari

Anzisheni dharia muwakate vichwa na ISIS
 
UNAZUNGUMZIA (BAKWATA) BARAZA LA KUWADHIBITI WAISLAMU TANZANIA NI Moja kati ya matawi ya CCM kama uvccm vile hawajawahi kusimamia maslahi ya waislamu TZ ni mkono wa dola tu huo juu ya waislam ....NDIOOOO.....

''JAMUHURI YA WATU WA ZANZIBAR KWANZA JARIDA LA SITTA BAADAEEE''​
 
Tayari tumesikia na kuona kwenye vyombo vingi vya habari na hata social medias viongozi wa kikristo hususani wakatoliki wakiweka msimamo wa wazi wakipinga vikali katiba ya sitta na hata kwenda mbali zaidi na kutangaza kuongoza kampeni ya hapana dhidi ya katiba ya Sitta.

Sasa ni muhimu kujua ni upi msimamo wa waislamu/BAKWATA katika jambo hili ili kuondoa mkanganyiko na taarifa nyingi za kupotosha kutoka kwa watu wasio waislamu.

unauliza msimamo wa jumuiya ya ccm ? mbona uko wazi
 
Usiangaike Mkuu. BAKWATA sio Waislamu ni Makafiri kama Sheikh JONGO. Wao wanawaza kula tu.


Akhy takfir(kuwakufurisha/kuwavua uislam) waislam ambao wametamka shahada, wanaswali na kufanza ibaadaat mbalimbali ni jambo kubwa na nzito mno tena lina misingi, taratibu na kanuni zake kisharia, na pia hufanzwa na husemwa na Ahlul i'lm(wasomi wakubwa wa dini) kama ikibidi kwa kuzingatia vigezo, ahkaam, misingi na miizan ya kisharia.

Ni kweli iliyo wazi kabisa BAKWATA kama taasisi yalegalega kama sio haisimamii kabisaa maslahi ya waislam na uislam kwa ujumla wake, wanazusha majambo ktk dini, wapindisha haqq na kutetea baatwil, wanapotoa ummah wa waislam, wapo kwa ajili ya maslahi yao, matumbo yao na sera za watawala nk.., Laakin mbali na uovu huo waufanzao hawajatoka bado ktk uislam na hatuwezi kuwahukumia ukafiri kisheria kwa maana si kila maasia ama dhambi yamvua mtu uislam wake na kumuachia ukafiri.
Chamsingi ni kuwapa nasaha ikibidi watubie na waache uzushi, dhulma,ubabaishaji, kufuata matamanio ya nafsi zao, kupindisha haqq na mengineyo ktk ma'asia na warejee ktk dini yao kikweli kweli,haliyakuwa watu wapembuliwa ipi chua na upi mchele safi.
 
Huwa hawana msimamo hawa na ndio sababu hujawasikia wakitia neno, na wakishaitiwa ubwabwa pale Ikulu ndipo utasikia msimamo wao, "Tunaunga mkono katiba hii." Hawajitambui kabisa.
 
Huwa hawana msimamo hawa na ndio sababu hujawasikia wakitia neno, na wakishaitiwa ubwabwa pale Ikulu ndipo utasikia msimamo wao, "Tunaunga mkono katiba hii." Hawajitambui kabisa.

Viongozi wa dini washenzi sana sikuiz kuna moja pale nilimsikia akiimba maswala ya muungano sijmuelewa kabisa
Yani ni sisi wananchi sasa kuamua kupiga kura ya Hapana na sio kufata hizi dini maana taifa lenyewe halina dini
 
Back
Top Bottom