PostGE2025 Upi msimamo wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) kuhusu sakata la Tanzania?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Wakuu.

Kama tunavyofahamu, Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) anatoka Tanzania, si mwingine bali Tulia Ackson. Sasa, endapo Bunge hilo litaamua kujadili matukio ya Oktoba 29 yaliyotokea Tanzania, hali itakuwaje? Na msimamo wao utakuwa upi, ikizingatiwa kuwa Rais anatoka hapa kwetu na tukio lenyewe limetokea nchini mwetu? Je, ataiongozaje nafasi yake kwenye mjadala kama huo?.

Baada ya kusikiliza Azimio la Bunge la Ulaya kuhusu mauaji ya raia Tanzania, kisha akajiweka kwenye nafasi ya Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), je tunapaswa kusubiri azimio jingine au bado unalifuatilia suala hili kwa undani kabla ya kuchukua msimamo rasmi?
1764332971503.jpeg
 
Betina angeandika barua ya kuachia ngazi tu ukizingatia hata hao aliokuwa akiwachawia hawamtaki.
 
Wakuu.

Kama tunavyofahamu, Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) anatoka Tanzania, si mwingine bali Tulia Ackson. Sasa, endapo Bunge hilo litaamua kujadili matukio ya Oktoba 29 yaliyotokea Tanzania, hali itakuwaje? Na msimamo wao utakuwa upi, ikizingatiwa kuwa Rais anatoka hapa kwetu na tukio lenyewe limetokea nchini mwetu? Je, ataiongozaje nafasi yake kwenye mjadala kama huo?.

Baada ya kusikiliza Azimio la Bunge la Ulaya kuhusu mauaji ya raia Tanzania, kisha akajiweka kwenye nafasi ya Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), je tunapaswa kusubiri azimio jingine au bado unalifuatilia suala hili kwa undani kabla ya kuchukua msimamo rasmi?
Ndiyo maana akugombea uspika ili kujikosha lazima tulia anakwenda kumsaliti samia hakuna jinsi ...niliwaambia watu samia ni zigo la mafii ukilibeba lazima unuke kinyesi watu wakabisha ...
 
Wakuu.

Kama tunavyofahamu, Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) anatoka Tanzania, si mwingine bali Tulia Ackson. Sasa, endapo Bunge hilo litaamua kujadili matukio ya Oktoba 29 yaliyotokea Tanzania, hali itakuwaje? Na msimamo wao utakuwa upi, ikizingatiwa kuwa Rais anatoka hapa kwetu na tukio lenyewe limetokea nchini mwetu? Je, ataiongozaje nafasi yake kwenye mjadala kama huo?.

Baada ya kusikiliza Azimio la Bunge la Ulaya kuhusu mauaji ya raia Tanzania, kisha akajiweka kwenye nafasi ya Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), je tunapaswa kusubiri azimio jingine au bado unalifuatilia suala hili kwa undani kabla ya kuchukua msimamo rasmi?
Kwasababu ya conflict of interest, kimaadili na kikanuni, hawezi kuongoza kikao kinachojadili nchi yake!
 
Wakuu.

Kama tunavyofahamu, Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) anatoka Tanzania, si mwingine bali Tulia Ackson. Sasa, endapo Bunge hilo litaamua kujadili matukio ya Oktoba 29 yaliyotokea Tanzania, hali itakuwaje? Na msimamo wao utakuwa upi, ikizingatiwa kuwa Rais anatoka hapa kwetu na tukio lenyewe limetokea nchini mwetu? Je, ataiongozaje nafasi yake kwenye mjadala kama huo?.

Baada ya kusikiliza Azimio la Bunge la Ulaya kuhusu mauaji ya raia Tanzania, kisha akajiweka kwenye nafasi ya Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), je tunapaswa kusubiri azimio jingine au bado unalifuatilia suala hili kwa undani kabla ya kuchukua msimamo rasmi?

Tuliwaonya mapema .... Hawakutusikiliza.
 
Je, ataiongozaje nafasi yake kwenye mjadala kama huo?.
Huyo Tulia msimamo wake unajulikana. Utekaji na mauaji vilipokithiri wabunge walitaka kujadili bungeni akazuia, maana yake anaunga mkono
 
Back
Top Bottom