Upgrading Symbian^3 to Nokia Belle OS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upgrading Symbian^3 to Nokia Belle OS

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Nokla, Aug 12, 2012.

 1. Nokla

  Nokla JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 2,121
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  Ndugu wa jf hivi kutakuwa na tofauti niki update my phone interms of perfomance and some other features?

  asanteni waku
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Aug 12, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,790
  Likes Received: 7,115
  Trophy Points: 280
  Yah tofauti ipo kubwa sana belle ni next level
   
 3. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Hiyo upgrade inafanyajwe?
   
 4. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ...Inabidi uwe na pc, cd iliyoambatana na hiyo nokia, na usb cable yake. Pili, install pc suite iliyopo kwenye cd katika pc yako. Tatu, chomeka usb cable kwenye pc, halafu chomeka nokia.

  ...Kama kila kitu kiko sawa, utaiona nokia yako kwenye hiyo pc suite [itatambulika] na utapata ujumbe wa ku update. Fuata maelekezo. Cha msingi, kabla hauja install hiyo update, back up settings na data zako. Uzuri ni kwamba utapewa maelekezo hayo na pc suite.

  ...Wakati wa ku update, kwanza ita download hiyo update -hivyo ni muhimu kuwa na internet connection ya uhakika, na kama ni package iwe yenye ujazo mkubwa, kitu kama 100 mb na zaidi- , halafu ita install, na wakati ikiwa ina install nokia itazima na kuwaka mara kwa mara. Usishtuke ikifanya hivyo, ni kawaida.

  ...Kumbuka, ni muhimu sana kufuata maelekezo yatakayotolewa na pc suite. Kila la kheri.
   
 5. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nokia hawana OTA jamani???
   
 6. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #6
  Aug 12, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,790
  Likes Received: 7,115
  Trophy Points: 280
  Wanayo nakumbuka 2 yrs ago nili update 5800 kihivo
   
 7. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #7
  Aug 12, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,790
  Likes Received: 7,115
  Trophy Points: 280
 8. Nokla

  Nokla JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 2,121
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  thanx mkuu
   
 9. Nokla

  Nokla JF-Expert Member

  #9
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 2,121
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  asante ndugu
   
 10. Nokla

  Nokla JF-Expert Member

  #10
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 2,121
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  samahan ndg OTA ndio nin?
   
 11. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #11
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Over The Air(OTA) yaani unaupdate bila ya kuwa na computer yaani ni simu pekeyake, kama vile unavyo update apps
   
 12. i

  itagata JF-Expert Member

  #12
  Aug 13, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Asante kaka kwa maelekezo mazuri, lakini naomba unisaidie zaidi, mie natumia Nokia E63 je ninaweza ku-upgrade kufuata maelekezo yako? na OS gani ambayo inafaa kwa simu kama hiyo?
   
 13. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #13
  Aug 13, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,790
  Likes Received: 7,115
  Trophy Points: 280
  Unaposema ku update au ku upgrade unakitoa kitu katika state ya chini kwenda ya juu (na sio kukibadili) os itabaki hio hio symbian 9x ila itakua na features mpya ambazo mwanzo hazikuwamo
   
 14. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #14
  Aug 13, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Niliwahi kuuliza kama inawezekana kuupdate nikaambiwa haiwezekani sas kumbe simle hivi. ngoja nianze now!
   
 15. i

  itagata JF-Expert Member

  #15
  Aug 13, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  thanks mkuu nimekuelewa, ngoja nijaribu sasa hivi
   
 16. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #16
  Aug 13, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  mi nlitumia nokia suite baada ya kuona nokia ovi suite inajidisconnect.... Tumia line ya voda kuunga net kwa pc yako ''tumia ile bundle ya 250 unlimited ya usiku'' inaspeed nzuri then update ur phone software to belle os...its very enjoyable....AM PROUD TO BE NOKIA'aholic.... Jebjeb
   
 17. c

  chororingo Member

  #17
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 15, 2008
  Messages: 62
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 25
  Mimi natumia Nokia Lumia 800. Tatizo lake ni kuwa inaisha betri haraka sana hata bila kutumia, haizewi kufikisha masaa 10. nimeambiwa niki update firmware nitaepeukana na hilo tatizo. Je nimkweli. Naombeni msaada kwani nimejaribu ku-update nimeshindwa.
   
 18. k

  kaka miye Senior Member

  #18
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mie natumia nokia N 70 je naweza ku update pia
   
 19. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #19
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  What about Nokia C2-03? Itaweza support WhatsApp?
   
 20. Nokla

  Nokla JF-Expert Member

  #20
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 2,121
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  mi nafikiri mara nyingi huwa issue ya ku-upgrade huwa inapatikana kwenye specification za cm husika jaribu ku-google spec za cm yako pale kwenye OS inaelekeza hivyo. Mfano mi natumia c6-01 hiyo option inanielekeza ku upgrade.

  Nadhan wadau wengine watakuwa na maoni mengine tofauti
   
Loading...