Upepo umegeukia huku

Hahaaa!, urembo wa mnyaki na msukuma.

Creativity je? Muhimu kuja na mambo mapya atii si kila siku kutumia nyuzi nyeusi tuu, after all black goes with any color...😀
Kwakweli hiyo dhambi ulioitenda kwenye kichwa cha mwanangu ukaitubu tu, ulifikiri ni liviktoria hilo?
 
Hahaaa!, urembo wa mnyaki na msukuma.

Creativity je? Muhimu kuja na mambo mapya atii si kila siku kutumia nyuzi nyeusi tuu, after all black goes with any color...😀
Hiyo collabo ya mnyaki na msukuma ni noumaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…