Upendo wangu wa kweli kwa wanawake umepotea kabisaaa..

Usilipize watu wasio kua na hatia,na ukijenga akili hiyi ktk maisha yako ujue utapotea sanaaaa,na hutokua na mwelekeo utajikuta unamiaka 50 bado una chovya chovya tuu na humalizi..

ni kweli kabisa ndio maana nimeamua kuwashirikisha wana jf ili nipate kubadilika coz nishaona si vema kufanya hivo.
 
nikuulize swali, huyo mwanamke ulizaliwa nae?
kwa nini mtu akuumize akili?
afterall hurt n pain ni kawaida kwenye mapenzi,
ukishindwa unaacha/unaachwa....

unatafuta mwingine......

sijazaliwa nae,lakini kumbuka unaweza ukawa unaacha/kuachwa lakini yupo yule ambaye ndo upendo umelala kwake,ukimpenda mtu kiukweli ni ngumu sana kumsahau hasa inapotokea yeye ndo kakuacha tena bila sababu za msingi.
 
i think advice will be of very much useful kuliko kuombewa au sio walimweusi

Ushauri wangu ni kwamba, wasahau hao wasichana wote ulokuwa nao huko nyuma, kuwa na serious relationship na msichana ambae mnapendana then get married usipoangalia utaishi maisha hayo hayo na mwisho wake nadhani unaujua.
 
kessy bora angefariki ningejua kwamba sitamuona tena,lakini sasa yupo na ninamuona,mbaya zaidi anapokuwa na boyfriend wengine hapo mi ndio naumia zaidi na yeye anajua kama mi kwake nimeoza na ninahic anafanya makusudi ili kunitesa.
Hicho ndicho kinachokuuma, na sio kingine, sio kwamba unampenda ssaaaaaaaaaaana, ni kwamba tu umemkosa na yuko na mwingine, maisha ni yako, chaguo ni lako, chagua kulet go, chagua kupenda tena, chagua kufurahia upya maisha ya mapenzi, make a decision today and enjoy. Wa kiume wewe ndugu, usiwe na moyo teketeke kama wa kike, am not insulting u lakini namaanisha u have to sit down siku moja na kufikiri hali hii itakutesa mpaka lini, however much makelele yatapigwa na watu humu jukwaani, kama usipoamua mwenyewe kutoka moyoni ni kazi bure!!
The more unalipiza, the more the maumivu, pata msichana mmoja anayekupenda kweli, na wewe jenga upendo wa dhati kwake na muombe yeye akusaidie kutatua linalokusibu..............Jipange mzaz
 
thanx kwa ushauri,lakini naomba nikuulize swali moja;hv utajisikiaje mpenzi aliyekuwa kila mara ankupigia simu,meseji nzuri sana zenye kuimarisha upendo,lakini ghafla katikati ya utamu wa penzi anakwamia it's over tena without any reasonable reason,unajaribu kumbembeleza lakini unachoambulia mwishoni ni kuambiwa u are no longer loved
 
Mshenzi huyo,mpotezee tu,iko siku atakutafuta asikupate,acha kupoteza muda kwa mtu aliyezaliwa na mwanamke mwingine na mkakutana ukubwani.
 
thanx kwa ushauri,lakini naomba nikuulize swali moja;hv utajisikiaje mpenzi aliyekuwa kila mara ankupigia simu,meseji nzuri sana zenye kuimarisha upendo,lakini ghafla katikati ya utamu wa penzi anakwamia it's over tena without any reasonable reason,unajaribu kumbembeleza lakini unachoambulia mwishoni ni kuambiwa u are no longer loved

Mshukuru kwa kukuambia ukweli, vipi kama angepretend kukupenda ili hali hakupendi? Its better to be told the truth, though it hurts rather than a lie that will keep you smilling! Mshukuru Mungu kwa hilo then move forward na maisha yako na utampata atakayekupenda kiukweli.
 
Kama uliweza kuikubali hali ya kukataliwa na maisha yakaendelea,kubali pia huyo hakua wako na wako yuko mahali anakusubiri.Wanawake waadilifu ni wachache sana,lakini haina maana hawapo!
 
Hicho ndicho kinachokuuma, na sio kingine, sio kwamba unampenda ssaaaaaaaaaaana, ni kwamba tu umemkosa na yuko na mwingine, maisha ni yako, chaguo ni lako, chagua kulet go, chagua kupenda tena, chagua kufurahia upya maisha ya mapenzi, make a decision today and enjoy. Wa kiume wewe ndugu, usiwe na moyo teketeke kama wa kike, am not insulting u lakini namaanisha u have to sit down siku moja na kufikiri hali hii itakutesa mpaka lini, however much makelele yatapigwa na watu humu jukwaani, kama usipoamua mwenyewe kutoka moyoni ni kazi bure!!
The more unalipiza, the more the maumivu, pata msichana mmoja anayekupenda kweli, na wewe jenga upendo wa dhati kwake na muombe yeye akusaidie kutatua linalokusibu..............Jipange mzaz

ahsante mzee,ila unajua hali hii pia imechangiwa na marafiki coz kipindi dada yule aliponiacha mpweke washikaji ndio walionipa ushauri wa kuhit and run na kweli ushauri huo nikautumia kisawasaw,kinachotekea hv sasa nataka kuwa na mmoja lakin sina ile kitu wana "passion of true love",kuna msichana nilikuwa naye hv karibuni maskini ananipenda huyu girl lakin ndio vile simjali sasa hiyo imeemumiza mpaka kaamua kujiondokea,ninachojaribu kusema ni kwamba how ninaweza kurudisha ile caring heart to a girl?
 
Hicho ndicho kinachokuuma, na sio kingine, sio kwamba unampenda ssaaaaaaaaaaana, ni kwamba tu umemkosa na yuko na mwingine, maisha ni yako, chaguo ni lako, chagua kulet go, chagua kupenda tena, chagua kufurahia upya maisha ya mapenzi, make a decision today and enjoy. Wa kiume wewe ndugu, usiwe na moyo teketeke kama wa kike, am not insulting u lakini namaanisha u have to sit down siku moja na kufikiri hali hii itakutesa mpaka lini, however much makelele yatapigwa na watu humu jukwaani, kama usipoamua mwenyewe kutoka moyoni ni kazi bure!!
The more unalipiza, the more the maumivu, pata msichana mmoja anayekupenda kweli, na wewe jenga upendo wa dhati kwake na muombe yeye akusaidie kutatua linalokusibu..............Jipange mzaz

nashukuru bra,mimi ni kijana wa kiume,nitafanyia kaz ushauri wako.
 
Jaribu kusahau yaliyopita jifunze kupenda! Kwenye mahusiano kutendwa ni hali ya kawaida sana.

Jifunze kupenda
 
Ulishindwa kukueleza ukweli but mwombe Mungu utampenda anayekupenda ambaye ameshapendwa atakusumbua bure utaumia sana ndugu yangu .
 
We soma kwanza mambo yakikubwa baadaye, angalia usije oga matope
 
Ulishindwa kukueleza ukweli but mwombe Mungu utampenda anayekupenda ambaye ameshapendwa atakusumbua bure utaumia sana ndugu yangu .

nilishindwa kumueleza mwanzoni ila baadae tukafanikiwa kuwa katika mahusiano na abaada ya kudumu kwenye uhusiano kwa muda akanimwaga
 
Unafikiri hiyo ndio dawa, just let it go ili ufurahie maisha na upate raha ya kupendwa, tatizo lako unaogopa kuwa katika uhusiano tena ka sababu unahisi utaachwa tena, ila kila mtu kaandikiwa wa kwake utakuja pata wako utafurahia maisha upya
 
thanx for advice
 
Back
Top Bottom