MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,755
- 48,651
We ni mnafiki sana na mpuuzi usiejua kusema asante mahala panapostahili. Hao ni watumishi wa Mungu, wamekaa wakaomba na kusali na hata kutoa wimbo kuwatakieni Amani, Upendo na Mshikamano...they used their precious time and unaona it worth nothing? BURE KABISA....afu unataka kusema haikuwa na haja isipokuwa Uganda ndo wanahitaji? Akili mgando kabisa kujiona umesimama kumbe ushaisha anguka siku nyingi. Hebu grow-up man, face the reality....
Hv Kenya hii hii wabunge wanaotoa bastola na kupiga watu hovyo.....ama juzi umeliona lile Toyota Cruiser likigonga watu mchana kweupeeee ndo unaita democracy hiyo? Nakuhakikishia kuwa umekuwa brainwashed.....ukweli ni kwamba mwenye pesa Kenya hujiona miungu flani hivi na ndio maana mnagongwa barabarani kama mbuzi.....nooo kama punda vilee nooo labda kama mbwa koko maana hao wanyama wengine, dereva angeliona thamani na umuhimu wa maisha yao na asingeligonga makusudi.
Hehehe unalazimisha maombi kwa mipovu
Nimetoa shukrani kwa hayo maombi ya hao wadau lakini nikasema majirani zetu wanahitaji maombi zaidi yeti.
Ni kama kuacha mtu anayeishi nje kwa baridi na kumuombea aliye ndani kwenye kitanda chake
Umesahau sisi tunamuuguza mwanasiasa wenu mkuu bwana Lissu baada ya nyie kumpiga risasi 38 sasa mnapos ma mnaombea wengine ilifaa na nyie mjombee kwanza