Upendo walionao WaTZ kwa Wakenya

Terace

Member
Jun 13, 2017
75
98
Sisi ni ndugu, tupendane jamani. Zaidi tunawaombea mpite kwa amani na upendo katika kipindi hiki kigumi kwenye historia ya Taifa lenu.

Kuweni wakweli na msikuze/exaggerate mambo. Mungu atawasaidia na kuwalinda.

With love, from your brothers & Sisters in Tanzania.....The Giant and Economic Powerhouse of EA, please to Watch & listen dedication exclusively for KE

Thank me later... :)
 
Mbona kichwa cha habari kizito afu yalio ndani mepesi

Maana yake tunawaombea Amani na Upendo. Kama sio upendo si tungeliwaombea njaa kama wasemavyo waswahili?
Mtu anapofikia hatua ya kukukumbuka kwenye maombi....know that he/she cares a lot for you.
 
Shukrani, ila misukosuko mnayoyaona ndio ukomavu wa demokrasia, hatutaki kuishi kwa mazoea, hilo tulilikataa zamani. Uchaguzi usiwe tu igizo fulani la kuwafurahisha wazungu ili watoe misaada. Nafikiri majirani zetu wengi ndio wangehitaji maombi zaidi maana wengi wapo gizani, kwa mfano kule Uganda rais anapitisha sheria ya kukaa madarakani hadi siku ya kifo chake.

Kwa kifupi udikteta umetamalaki kwenye Afrika Mashariki, utawala wa kimabavu na mikwara, ila hapa Kenya tunajaribu kuhakikisha hatutarudi huko. Wakenya unaowaona wakikimbia kimbia mjini kwenye maandamano wana haki yao ya kuhoji na ni mashujaa, pamoja na kwamba mimi binafsi nampigia rais Uhuru kura yangu, lakini nakubaliana na hoja za hawa ndugu zangu, kuna kasoro zinafaa kurekebishwa.
 
Shukrani, ila misukosuko mnayoyaona ndio ukomavu wa demokrasia, hatutaki kuishi kwa mazoea, hilo tulilikataa zamani. Uchaguzi usiwe tu igizo fulani la kuwafurahisha wazungu ili watoe misaada. Nafikiri majirani zetu wengi ndio wangehitaji maombi zaidi maana wengi wapo gizani, kwa mfano kule Uganda rais anapitiza sheria ya kukaa madarakani hadi siku ya kifo chake.

Hata hivyo, siamini kama ni sawa kuwapuuza wanaowaombea mema ikiwa miaka 10 iliyopita mlichinjana na kuuana maelfu kwa maelfu na kuacha watoto yatima mitaani, meanwhile tunaona mnaelekea hukohuko mnakodai mmetoka,
Haiingii akilini ukidai mmekomaa ikiwa viongozi wenu na nyie wananchi pia mnakosa Hekima..
Labda nikukumbushe jambo, kwa sasa waafrica Tunahitaji maendeleo,
Democracy cant be imported like a bottle of coke, it have to grow according to a particular society, matching with a particular culture (Mwl.Nyerere),
Unlike the Western, instabilities zetu nyingi huanzia kwenye chaguzi, and this significantly delays behind our economic activities and lags behind our progress.
What if we extend the terms to 10 years instead of 5 years to avoid such chaos and save Money??
 
Shukrani, ila misukosuko mnayoyaona ndio ukomavu wa demokrasia, hatutaki kuishi kwa mazoea, hilo tulilikataa zamani. Uchaguzi usiwe tu igizo fulani la kuwafurahisha wazungu ili watoe misaada. Nafikiri majirani zetu wengi ndio wangehitaji maombi zaidi maana wengi wapo gizani, kwa mfano kule Uganda rais anapitiza sheria ya kukaa madarakani hadi siku ya kifo chake.

Kwa kifupi udikteta umetamalaki kwenye Afrika Mashariki, utawala wa kimabavu na mikwara, ila hapa Kenya tunajaribu kuhakikisha hatutarudi huko. Wakenya unaowaona wakikimbia kimbia mjini kwenye maandamano wana haki yao ya kuhoji na ni mashujaa, pamoja na kwamba mimi binafsi nampigia rais Uhuru kura yangu, lakini nakubaliana na hoja za hawa ndugu zangu, kuna kasoro zinafaa kurekebishwa.

I personally don't blame these dictators like you call them..utamaduni wetu ndio upo hivyo, level ya civilization ya Wazungu hatuendani Nayo,
Hata wewe kama ni Baba asili wa Kiafrica kwenye familia yako una elements za dictatorship (prove me wrong), and tell me what happens wewe kama baba ndani ya nyumba yako ukikosa sauti na Maamuzi??
tofauti na Wazungu ambao mtoto wa miaka mitatu atamfokea baba na baba ataomba msamaha,
Hatujafikia Level hiyo, kwa sasa tutafute maendeleo huku tukikosoa serikali in a good way, I accept we have dumb leaders who need public criticism, but we must remember this.
 
Hata hivyo, siamini kama ni sawa kuwapuuza wanaowaombea mema ikiwa miaka 10 iliyopita mlichinjana na kuuana maelfu kwa maelfu na kuacha watoto yatima mitaani, meanwhile tunaona mnaelekea hukohuko mnakodai mmetoka,
Haiingii akilini ukidai mmekomaa ikiwa viongozi wenu na nyie wananchi pia mnakosa Hekima..
Labda nikukumbushe jambo, kwa sasa waafrica Tunahitaji maendeleo,
Democracy cant be imported like a bottle of coke, it have to grow according to a particular society, matching with a particular culture (Mwl.Nyerere),
Unlike the Western, instabilities zetu nyingi huanzia kwenye chaguzi, and this significantly delays behind our economic activities and lags being our progress.
What if we extend the terms to 10 years instead of 5 years to avoid such chaos and save Money??

mkuu umenena kweli. kuandamana na kuleta vurugu siyo demokrasia. nyie nchi yenu iko katika hali tete sana. naishukuru sana ICC maana isingekuwa lazima damu ingemwagika kama ilivyotokea 2007. Kenya ni wa kuwahurumia maana tafsiri yao ya demokrasia ni kuchagua uongozi toka kabila fulani kitu ambacho wakenya wengi wanapinga.
MK254 mna kazi kubwa sana ya kuweka nchi kwenye mtangamano. vinginevyo the country will be in peril.
 
Shukrani, ila misukosuko mnayoyaona ndio ukomavu wa demokrasia, hatutaki kuishi kwa mazoea, hilo tulilikataa zamani. Uchaguzi usiwe tu igizo fulani la kuwafurahisha wazungu ili watoe misaada. Nafikiri majirani zetu wengi ndio wangehitaji maombi zaidi maana wengi wapo gizani, kwa mfano kule Uganda rais anapitiza sheria ya kukaa madarakani hadi siku ya kifo chake.

Kwa kifupi udikteta umetamalaki kwenye Afrika Mashariki, utawala wa kimabavu na mikwara, ila hapa Kenya tunajaribu kuhakikisha hatutarudi huko. Wakenya unaowaona wakikimbia kimbia mjini kwenye maandamano wana haki yao ya kuhoji na ni mashujaa, pamoja na kwamba mimi binafsi nampigia rais Uhuru kura yangu, lakini nakubaliana na hoja za hawa ndugu zangu, kuna kasoro zinafaa kurekebishwa.
Serikali ya Kenya imepiga marufuku maandamano kuanzia leo, maandamano yamekua kwa amani kwa kiasi kikubwa, sababu iliyotolewa na serikali ni ili kuokoa uchumi, je Kenya inaendeshwa kidikteta?
 
Eti watanzania wanaona Kenya wanako practice democracy ndo kuna matatizo ila kwao wanakopewa kibano ndo pakoshwari, serious!!?

Biblia inasema "msinililie mimi (kwakua ni akheri mimi), jililieni nyinyi na watoto wenu"
 
Shukrani, ila misukosuko mnayoyaona ndio ukomavu wa demokrasia, hatutaki kuishi kwa mazoea, hilo tulilikataa zamani. Uchaguzi usiwe tu igizo fulani la kuwafurahisha wazungu ili watoe misaada. Nafikiri majirani zetu wengi ndio wangehitaji maombi zaidi maana wengi wapo gizani, kwa mfano kule Uganda rais anapitiza sheria ya kukaa madarakani hadi siku ya kifo chake.

Kwa kifupi udikteta umetamalaki kwenye Afrika Mashariki, utawala wa kimabavu na mikwara, ila hapa Kenya tunajaribu kuhakikisha hatutarudi huko. Wakenya unaowaona wakikimbia kimbia mjini kwenye maandamano wana haki yao ya kuhoji na ni mashujaa, pamoja na kwamba mimi binafsi nampigia rais Uhuru kura yangu, lakini nakubaliana na hoja za hawa ndugu zangu, kuna kasoro zinafaa kurekebishwa.
Kenya: A failing state on the road to genocide? | Pambazuka News
 
I personally don't blame these dictators like you call them..utamaduni wetu ndio upo hivyo, level ya civilization ya Wazungu hatuendani Nayo,
Hata wewe kama ni Baba asili wa Kiafrica kwenye familia yako una elements za dictatorship (prove me wrong), and tell me what happens wewe kama baba ndani ya nyumba yako ukikosa sauti na Maamuzi??
tofauti na Wazungu ambao mtoto wa miaka mitatu atamfokea baba na baba ataomba msamaha,
Hatujafikia Level hiyo, kwa sasa tutafute maendeleo huku tukikosoa serikali in a good way, I accept we have dumb leaders who need public criticism, but we must remember this.

Nimeishi kwenye mifumo tofauti na nimeona athari zake, nimeishi Kenya enzi za udikteta, nimeishi kwenye mataifa majirani yanayoongozwa kidikteta na yenye demokrasia ya kiusanii. Kwa maoni yangu, nashukuru Mungu sana kwa Kenya yetu jinsi tulivyo, tumetoka mbali na tunakokwenda ni mbali. Na pamoja na kwamba huwa namuunga rais Uhuru mkono kwenye jitihada zake za kuifanya nchi ipepee kiuchumi, lakini hili la kuthubutu kuturudisha nyuma sipo naye kabisaa, tena akome na alegee.

Tumefikia hapa kwa kulipia gharama, haikua rahisi, mimi binafsi nilichezea vibano vya polisi, niliteseka kwa mabomu ya machozi, hivyo ninajua fika tulikotoka.

Uongozi sio mabavu, unaweza kuwa baba mzuri na kiongozi bora ndani ya nyumba yako bila kutumia mabavu wala kiboko. Unawalea wanao kwa kutumia akili sio nguvu, makelele na mikwara. Mtoto unaweza kumuongoza, pale akipinda unamrekebisha kwa utulivu na anaishia kuwa mtu wa maana sana kwenye jamii.
 
Wewe naona umeniquote mara tatu kwenye bango moja tu, itakua nimekugusa penyewe na unapitia maumivu, ila ndio hivyo pole maana ni muhimu kuambizana ukweli humu.
Tatizo huwa unatumia nguvu nyingi sana kupindisha na kuongopea na mapropaganda kiasi kwamba inabidi tukupuuze humu hata ukijaza server na miinsha yako hiyo. Nilishakuambia hata kama unalipwa na hao CCM, jaribu kutumia akili kidogo.
 
Serikali ya Kenya kupiga marufuku maandamano ya amani na yaliyokubaliwa kikatiba ya nchi, nini maoni yako katika hilo?
 
Swali lako limekaa kisanii, siku zote serikali imekua ikiruhusu maandamano ya amani na hata kuwapa ulinzi wa polisi, kitu ambacho hakipo Afrika na hakijasikika siku nyingine.
Tatizo ni pale hao waandamanaji wanakosa kudumisha hiyo amani na kuanza uporaji na vurugu, hivyo kisheria na kikatiba serikali ina jukumu la kulinda wanaoathirika kutokana na huo utovu wa nidhamu.

Waziri amepiga marufuku maandamano kwenye baadhi ya miji hadi pale waandamanaji watakubali kurudia hali ya mwanzo ya kuandamana bila fujo.
 
Eti watanzania wanaona Kenya wanako practice democracy ndo kuna matatizo ila kwao wanakopewa kibano ndo pakoshwari, serious!!?

Biblia inasema "msinililie mimi (kwakua ni akheri mimi), jililieni nyinyi na watoto wenu"
Awamu iliyopita mmepewa hiyo democrasia na JK, tell me what hapened???
Ufanisi makazini kwenye ofisi za Umma???
Mfumo???
Elimu???
Baada ya haya yote Watanzania tulikaa chini na kugundua tunahitaji rais mkali kama Gadafi, wengi wetu tulimwomba Mungu atupe Kiongozi mwenenye elements za Dictatorship (Remember?), asiyeendekeza mizaha, urafiki wala asiecheka na mtu kazini.,
Neno la Mungu linasema 'Ombeni nanyi mtapewa' (mathayo 7:7-11), Mungu aliwapa mlichomwomba.

My Take: Trust me, Watanzania Wanahitaji kibano ili wafanye kazi, Just like the Japanese and the Chinese, We need to work hard day and night to get out from here,
Mnataka democracy kuplease wazungu huku watu milioni 55 mnatengeneza 48bn GDP?? Does it Make any sense??
You tell me if you really need democracy or you need development. To me Numbers matter than words, people won't eat words.
Mimi si shabiki wa masiasa na mavyama, napenda sana maendeleo, this is what I would suggest many of us to behave.
 
Shukrani, ila misukosuko mnayoyaona ndio ukomavu wa demokrasia, hatutaki kuishi kwa mazoea, hilo tulilikataa zamani. Uchaguzi usiwe tu igizo fulani la kuwafurahisha wazungu ili watoe misaada. Nafikiri majirani zetu wengi ndio wangehitaji maombi zaidi maana wengi wapo gizani, kwa mfano kule Uganda rais anapitiza sheria ya kukaa madarakani hadi siku ya kifo chake.

Kwa kifupi udikteta umetamalaki kwenye Afrika Mashariki, utawala wa kimabavu na mikwara, ila hapa Kenya tunajaribu kuhakikisha hatutarudi huko. Wakenya unaowaona wakikimbia kimbia mjini kwenye maandamano wana haki yao ya kuhoji na ni mashujaa, pamoja na kwamba mimi binafsi nampigia rais Uhuru kura yangu, lakini nakubaliana na hoja za hawa ndugu zangu, kuna kasoro zinafaa kurekebishwa.

We ni mnafiki sana na mpuuzi usiejua kusema asante mahala panapostahili. Hao ni watumishi wa Mungu, wamekaa wakaomba na kusali na hata kutoa wimbo kuwatakieni Amani, Upendo na Mshikamano...they used their precious time and unaona it worth nothing? BURE KABISA....afu unataka kusema haikuwa na haja isipokuwa Uganda ndo wanahitaji? Akili mgando kabisa kujiona umesimama kumbe ushaisha anguka siku nyingi. Hebu grow-up man, face the reality....
Hv Kenya hii hii wabunge wanaotoa bastola na kupiga watu hovyo.....ama juzi umeliona lile Toyota Cruiser likigonga watu mchana kweupeeee ndo unaita democracy hiyo? Nakuhakikishia kuwa umekuwa brainwashed.....ukweli ni kwamba mwenye pesa Kenya hujiona miungu flani hivi na ndio maana mnagongwa barabarani kama mbuzi.....nooo kama punda vilee nooo labda kama mbwa koko maana hao wanyama wengine, dereva angeliona thamani na umuhimu wa maisha yao na asingeligonga makusudi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom