Upendo walionao WaTZ kwa Wakenya

We ni mnafiki sana na mpuuzi usiejua kusema asante mahala panapostahili. Hao ni watumishi wa Mungu, wamekaa wakaomba na kusali na hata kutoa wimbo kuwatakieni Amani, Upendo na Mshikamano...they used their precious time and unaona it worth nothing? BURE KABISA....afu unataka kusema haikuwa na haja isipokuwa Uganda ndo wanahitaji? Akili mgando kabisa kujiona umesimama kumbe ushaisha anguka siku nyingi. Hebu grow-up man, face the reality....
Hv Kenya hii hii wabunge wanaotoa bastola na kupiga watu hovyo.....ama juzi umeliona lile Toyota Cruiser likigonga watu mchana kweupeeee ndo unaita democracy hiyo? Nakuhakikishia kuwa umekuwa brainwashed.....ukweli ni kwamba mwenye pesa Kenya hujiona miungu flani hivi na ndio maana mnagongwa barabarani kama mbuzi.....nooo kama punda vilee nooo labda kama mbwa koko maana hao wanyama wengine, dereva angeliona thamani na umuhimu wa maisha yao na asingeligonga makusudi.

Hehehe unalazimisha maombi kwa mipovu
Nimetoa shukrani kwa hayo maombi ya hao wadau lakini nikasema majirani zetu wanahitaji maombi zaidi yeti.
Ni kama kuacha mtu anayeishi nje kwa baridi na kumuombea aliye ndani kwenye kitanda chake

Umesahau sisi tunamuuguza mwanasiasa wenu mkuu bwana Lissu baada ya nyie kumpiga risasi 38 sasa mnapos ma mnaombea wengine ilifaa na nyie mjombee kwanza
 
Swali lako limekaa kisanii, siku zote serikali imekua ikiruhusu maandamano ya amani na hata kuwapa ulinzi wa polisi, kitu ambacho hakipo Afrika na hakijasikika siku nyingine.
Tatizo ni pale hao waandamanaji wanakosa kudumisha hiyo amani na kuanza uporaji na vurugu, hivyo kisheria na kikatiba serikali ina jukumu la kulinda wanaoathirika kutokana na huo utovu wa nidhamu.

Waziri amepiga marufuku maandamano kwenye baadhi ya miji hadi pale waandamanaji watakubali kurudia hali ya mwanzo ya kuandamana bila fujo.
Sababu zilizotolewa na waziri za kupiga marufuku ni kuokoa uchumi sio vurugu, kwa sababu maeneo mengi kwa ujumla maandamano yalikuwa ya amani na watu walitawanyika kwa amani kasoro kisumu tu, kwanini tusiamini kwamba serikali ya Kenya inaendeshwa na dikteta?
 
Hehehe unalazimisha maombi kwa mipovu
Nimetoa shukrani kwa hayo maombi ya hao wadau lakini nikasema majirani zetu wanahitaji maombi zaidi yeti.
Ni kama kuacha mtu anayeishi nje kwa baridi na kumuombea aliye ndani kwenye kitanda chake

Umesahau sisi tunamuuguza mwanasiasa wenu mkuu bwana Lissu baada ya nyie kumpiga risasi 38 sasa mnapos ma mnaombea wengine ilifaa na nyie mjombee kwanza
Tatizo kubwa linalokusumbua ni ukabila tu, kwa sababu Jubilee ni wakikuyu kwa hiyo huoni ukweli wa nchi ilipofikia, msiposhughulikia ukabila lazima mtaendelea kuchinjana tu
 
Sababu zilizotolewa na waziri za kupiga marufuku ni kuokoa uchumi sio vurugu, kwa sababu maeneo mengi kwa ujumla maandamano yalikuwa ya amani na watu walitawanyika kwa amani kasoro kisumu tu, kwanini tusiamini kwamba serikali ya Kenya inaendeshwa na dikteta?

Sababu zako za kuniuliza swali la kinafiki lilikua nini kama tayari ulikua ulikua msimamo wako.
Hata Marekani kawaida maandamano yakihusisha vurugu lazima yadhibitiwe
Na sioni nini cha ajabu wewe kuhusisha uchumi, kwani nani asiyejua nchi ikiingia kwenye machafuko lazima uchumi utaharibika. Kenya iliingia kwenye machafuko 2008 uchumi wetu ukaharibika lakini cha kushangaza Tanzania ilishindwa kutufikia
 
Lengo langu ni kutaka kukuonyesha kwamba sababu alizotumia Magufuli kupiga marufuku maandamano ni za kiuchumi, yeye alidai kwamba watu wapate muda wafanye kazi, tulimwita dikteta wote sisi, iweje leo Uhuru atoe sababu hizo hizo asiwe dikteta?

Kama maelfu ya watu waliouliwa wakati wa PEV 2007, na malaki ya watu waliopoteza makazi yao hadi leo wanaishi kama wakimbizi ndani ya Kenya unaona sio muhimu, kama mamia ya watu wanaouliwa kila siku Kenya kutokana na insecurity sio muhimu, watu wanaokufa njaa huko Turkana sio muhimu, 48% Unemployment sio muhimu, high cost of living sio muhimu, mamilioni ya watu wanaoishi kwenye slums sio muhimu kwako, ila muhimu kwako ni GDP ambayo karibu yote ipo mikononi mwa watu elfu 10 Pekee lakini kwa sababu imeizidi Tanzania kwa kipengele kimoja tu muhimu umeridhika, basi bora tubaki na GDP ndogo lakini tunaishi maisha ya utu, kuliko maisha ya kinyama wanayoishi wakenya wengi
 
Shukrani, ila misukosuko mnayoyaona ndio ukomavu wa demokrasia, hatutaki kuishi kwa mazoea, hilo tulilikataa zamani. Uchaguzi usiwe tu igizo fulani la kuwafurahisha wazungu ili watoe misaada. Nafikiri majirani zetu wengi ndio wangehitaji maombi zaidi maana wengi wapo gizani, kwa mfano kule Uganda rais anapitiza sheria ya kukaa madarakani hadi siku ya kifo chake.

Kwa kifupi udikteta umetamalaki kwenye Afrika Mashariki, utawala wa kimabavu na mikwara, ila hapa Kenya tunajaribu kuhakikisha hatutarudi huko. Wakenya unaowaona wakikimbia kimbia mjini kwenye maandamano wana haki yao ya kuhoji na ni mashujaa, pamoja na kwamba mimi binafsi nampigia rais Uhuru kura yangu, lakini nakubaliana na hoja za hawa ndugu zangu, kuna kasoro zinafaa kurekebishwa.
Acha kujificha kwenye kichaka cha karanga,ukweli ni kwamba, fujo na maandamano ya Kenya, hayahusu democracy, it is all about TRIBALISM,ndo maana maeneo yaliokaliwa na kina MUMBI FAMILY ni matulivu.TZ hatuna hayo.wakenya mnajifichia kwenye demokrasia huku nyuma ni ukabila.
 
We ni mnafiki sana na mpuuzi usiejua kusema asante mahala panapostahili. Hao ni watumishi wa Mungu, wamekaa wakaomba na kusali na hata kutoa wimbo kuwatakieni Amani, Upendo na Mshikamano...they used their precious time and unaona it worth nothing? BURE KABISA....afu unataka kusema haikuwa na haja isipokuwa Uganda ndo wanahitaji? Akili mgando kabisa kujiona umesimama kumbe ushaisha anguka siku nyingi. Hebu grow-up man, face the reality....
Hv Kenya hii hii wabunge wanaotoa bastola na kupiga watu hovyo.....ama juzi umeliona lile Toyota Cruiser likigonga watu mchana kweupeeee ndo unaita democracy hiyo? Nakuhakikishia kuwa umekuwa brainwashed.....ukweli ni kwamba mwenye pesa Kenya hujiona miungu flani hivi na ndio maana mnagongwa barabarani kama mbuzi.....nooo kama punda vilee nooo labda kama mbwa koko maana hao wanyama wengine, dereva angeliona thamani na umuhimu wa maisha yao na asingeligonga makusudi.

Ila ile video was really disturbing ingelikuwa Tanzania pangechimbika ila ndugu zetu hawathamini maisha ya mtu wa chini.... Wakenya bado wanabaguana sana
 
Acha kujificha kwenye kichaka cha karanga,ukweli ni kwamba, fujo na maandamano ya Kenya, hayahusu democracy, it is all about TRIBALISM,ndo maana maeneo yaliokaliwa na kina MUMBI FAMILY ni matulivu.TZ hatuna hayo.wakenya mnajifichia kwenye demokrasia huku nyuma ni ukabila.

Hivi unaelewa nini maana ya demokrasia, Uwezo wa mtu kuchagua atakacho au kuegemea upande autakao kwa vigezo vyake mwenyewe bila kulazimishwa ndio matunda ya demokrasia
Kama hao Wakenya wametumia ukabila kuchagua mlengo basi ndio hivyo, demokrasia inawapa uhuru huo. Na hata Kama maandamano ni ya watu wa kutokea Kabila moja cha msingi demokrasia yetu komavu Afrika inawapa uhuru huo na kuwalinda.

Tatizo ni pale wanahusisha vurugu ambapo ndio kitu wanafiki nyie mlikisubiri kwa hamu huku mkijifanya kutuombea amani. Kawaida vurugu zinaharibu ukuaji wa uchumi na zinaweza kutuchelewesha hadi mtufikie, hivyo inabidi wadhibitiwe mapema.

Kisumu hiyo itakua kitovu cha Afrika mashariki maana kuna bandari ya kisasa inajengwa pale na kwamba reli ya kisasa ya SGR inajengwa hadi Kisumu tutakua tumemaliza mchezo na ndio maana baadhi yenu wanafiki mlisubiri kwa hamu kuona hilo jiji limeungua.
 
Nimekuvumilia sana muda mrefu ukiongea upumbavu wako huo. demokrasia gani ambayo wanyonge wanauawa makusudi. mtu anakuja na kuwagonga watu bila hata kuwa na chembe ya huruma. sasa nikwambie Kenya hamna cha demokrasia wala nini ni ukabila tu umewajaa. wengi wamejawa na hasira kuwaelekea nyie wakikuyu. kuna a very serious class struggle pia kuna very serious political polarisation. kuna watu wana machungu na ukabaila na unyonyaji muliowafanyia tangu zama hizo (historical injustice).
halafu wewe unakuja hapa na ngonjela za demokrasia. demokrasia gani haijali wanyonge. mnaona mambo yako sawa tu kwa sababu mnafurahia maisha na mali ambazo mmezipata kwa kunyonya wengine. mnakula bata kwa hasara ya wengine. hilo halita waacha salama.
 
Kama hiyo ndiyo demokrasia, sasa tuambie nini maana ya tribalism?, kwa nini wajaluo walipanga kuvamia nyumba ya PLO kwa sababu tu ni mjaluo ameiwakilisha Jubilee?, kwanini yule mwanamziki wa kijaluo aliyeimba nyimbo ya kumpigia kampeni Uhuru Kenyatta alivamiwa na kukimbilia Mwanza kujificha hadi leo kwa sababu tu alisaliti kabila lake?, wakikuyu kadhaa waliosaliti jubilee walifanyiwa tambiko la kijadi na wakikuyu kuwatenga?

Zaidi ya ukabila Kenya, hakuna demokrasia yoyote japo unataka kulazimisha vitu, kukataza maandamano yaliyoruhusiwa kikatiba kwa sababu za janja janja kama alizotoa Magufuli, na hizi zilizotolewa na Uhuru kupitia Matiang'i ni ukiukwaji wa demokrasia na usijaribu kubadili nyeusi kuwa njano.
 
Nimekuvumilia sana muda mrefu ukiongea upumbavu wako huo. demokrasia gani ambayo wanyonge wanauawa makusudi. mtu anakuja na kuwagonga watu bila hata kuwa na chembe ya huruma. sasa nikwambie Kenya hamna cha demokrasia wala nini ni ukabila tu umewajaa. wengi wamejawa na hasira kuwaelekea nyie wakikuyu. kuna a very serious class struggle pia kuna very serious political polarisation. kuna watu wana machungu na ukabaila na unyonyaji muliowafanyia tangu zama hizo (historical injustice).
halafu wewe unakuja hapa na ngonjela za demokrasia. demokrasia gani haijali wanyonge. mnaona mambo yako sawa tu kwa sababu mnafurahia maisha na mali ambazo mmezipata kwa kunyonya wengine. mnakula bata kwa hasara ya wengine. hilo halita waacha salama.

Pole sana kaka kwa kunivumila, lakini ndio hivyo maana hamna namna inabidi humu niwe nawapa ukweli japo mnaumia kila siku. Rais wenu husema msema kweli ni rafiki wa Mungu.
Itawachukua muda mrefu nyie kufikia demokrasia level ya Kenya, ilitugharimu sana sisi.
 
Hata hivyo, siamini kama ni sawa kuwapuuza wanaowaombea mema ikiwa miaka 10 iliyopita mlichinjana na kuuana maelfu kwa maelfu na kuacha watoto yatima mitaani, meanwhile tunaona mnaelekea hukohuko mnakodai mmetoka,
Haiingii akilini ukidai mmekomaa ikiwa viongozi wenu na nyie wananchi pia mnakosa Hekima..
Labda nikukumbushe jambo, kwa sasa waafrica Tunahitaji maendeleo,
Democracy cant be imported like a bottle of coke, it have to grow according to a particular society, matching with a particular culture (Mwl.Nyerere),
Unlike the Western, instabilities zetu nyingi huanzia kwenye chaguzi, and this significantly delays behind our economic activities and lags behind our progress.
What if we extend the terms to 10 years instead of 5 years to avoid such chaos and save Money??
Una elements za udikteta kabisa, kwa nini muda uwe extended? Vipi kama kuna rais mbaya na katili mkae nae miaka 10 kisa ku save pesa? Hufai kabisa
 
I personally don't blame these dictators like you call them..utamaduni wetu ndio upo hivyo, level ya civilization ya Wazungu hatuendani Nayo,
Hata wewe kama ni Baba asili wa Kiafrica kwenye familia yako una elements za dictatorship (prove me wrong), and tell me what happens wewe kama baba ndani ya nyumba yako ukikosa sauti na Maamuzi??
tofauti na Wazungu ambao mtoto wa miaka mitatu atamfokea baba na baba ataomba msamaha,
Hatujafikia Level hiyo, kwa sasa tutafute maendeleo huku tukikosoa serikali in a good way, I accept we have dumb leaders who need public criticism, but we must remember this.
Wewe ni muongo mkubwa,wazungu wanatofautiana utamaduni kulingana na nchi ,walivyo Wajerumani sivyo walivyo warusi, ni wazungu wa nchi gani ambao mtoto anamfokea baba? Watu tumeishi nchi nyingi sana uzunguni, acha uongo wewe, nenda Lumumba kawadanganye mazezeta.
 
Pole sana kaka kwa kunivumila, lakini ndio hivyo maana hamna namna inabidi humu niwe nawapa ukweli japo mnaumia kila siku. Rais wenu husema msema kweli ni rafiki wa Mungu.
Itawachukua muda mrefu nyie kufikia demokrasia level ya Kenya, ilitugharimu sana sisi.

hakuna demokrasia Kenya zaidi ya philosophy yenu "kila mtu akate nyama kulingana na ukali wa lisu chake" inayopalilia ukabila na class struggle.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom