Upendo wa mama kwa mtoto ni wa aina yake kwani ndilo jukumu alilokabidhiwa na Mungu,ingawa Baba naye ana role yake kubwa tu, so isijeonekana Baba ni kama hana thamani kwenye malezi, ndio maana kuna amri inayosema waheshimu baba na mama yako upate kuishi miaka mingi,Muumba mwenyewe ndio mwenye mizani ya kujua kuwa wote wana thamani inayolingana kwa watoto and not the human judgement kwamba mama ana upendo zaidi.