MECKIAD RUYINGO
Member
- Jun 10, 2011
- 20
- 0
Mm ni ss ninasoma chuo kikuu cha dodoma mwaka wa tatu ba-education.. Kwa muda mwingi nilikuwa nikilelewa na kaka yangu ila by this moment i need to see my mum because mum ndiye mwenye kufahamu how much pain gained bcz of me..
kwa hiyo tukusaidieje....?
Mpe ushauri kwanza Bhana, maswali baadaye..
Shkamoo!
marhaba Tanmo....hujambo....?
kumsaidia basi aje nimnyonyeshe....naona amemiss kunyonya......