Upendo wa MAMA kwa WANAE

Katika nyimbo ambazo hazichuji ni za mama *mama-boys 2 men *mama-banana *upendo wa mama-farida *mama-spice girls *mama/goodbye yes-c'dion *sweet mother-nigerian song ---____----_____......
 
Every body has the right to say his/her mother is special woman. Yeah... My mother is special woman to me. Love you soooo much mama!
 
Umenikumbusha status ya jamaa mmoja facebook

Anasema kuna dogo alikuwa anatoka shule mvua ikaanza kunyesha; katoto kakafika home kamelowana.

Baba akamsema kwa nini hakusubiri mvua iishe ndio arudi home.

Kaka akamkaripia kuwa asubiri akipata mafua ndio atalijua jiji.

Mama akalaumu mvua...why didn't this stupid rain wait for my son to come home; huku anampangusa dogo na taulo.

HAKUNA KAMA MAMA
 
Ni kweli mama ni kila itu kwa kila mtu duniani............
Sio kwa kila mtu, ni kwa waliobahatika tu!

Labda kama unaona na yule aliyezikwa hai juzi ametendewa ambavyo mama anatakiwa kumtendea mwanae.
 
Mama, Mungu alikuchukua baada ya kuwa mwema sana kwangu mama. Nasikitika ulitoka duniani bila kuonja matunda ya uchungu uliopata na mateso ya kunilea na vurugu zoote za utoto. Nakumbuka ulikuwa huishi wasi wasi mpaka uone nimerudi nyumbani.

I have missed your LOVE mama!
 
Nilipokuwa mdogo nilikuwa najua mama yangu anaweza kila kitu,
sikuwahi kuona napungukiwa, ma wala sikujua kuwa zile raha na maisha mazuri aliyokuwa akinipatia alivipata kwa taabu na dhiki nyingi mno.
Nakupenda sana mama yangu.



wise enough
 
Sio kwa kila mtu, ni kwa waliobahatika tu!

Labda kama unaona na yule aliyezikwa hai juzi ametendewa ambavyo mama anatakiwa kumtendea mwanae.

hatuezi kutoa hukumu kuwa akina mama hawana mapenzi kwa kuwa mmoja au wawili wametenda ndivyo sivyo...generally ulimwenguni pote na kwa viumbe vyote mama ndio kila kitu..........
 

Hallo inauma sana,mno kumkosa.
Mungu akulaze Mahali pema peponi!
mliobahatika kuwa nao muwaheshimu na muwapende sana.
As I think that will be the only special gift to them.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…