Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 15,717
- 50,051
Angalia status yako ipoje kwa sasa ni _ve au +ve, ikiwa +ve endeleeeni kuishi pamoja ikiwa neg kimbia kusanya kilicho chako fyatuka kwel kwel
Tumia condom jilinde.HIV POLICY ZA TZ NI MBOVU .. Ni zAkingese Zina allow more infections . Mtu ni positive Anaweka Siri kwa mpenzi wake . Sasa anauwa wengine kumi . ULAYA . Ukiwa positive usipo disclose kwa Partner wako . Ni jela up to 13 years ndani . Amna Masiala . Sema Tanzania tunazingua everyone for himself .
Mtu akiwa hiv+ huyo ni marehemu anayetembeaYeye hiv+ ameshakufa? Sema angemuambukiza.
sijui kwanini tunawabrand hiv + kama tayari weshakufa ilihali watu kibao -ve wanakufa wanawaacha.
Kuna tukio la kweli la hivyo.....jamaaa hajamuacha...wameongeza mtoto mwingine.....mtazamo.....elimu.....Unamuacha ni mjinga tu ndiye ataendeleanaye...kuendelea ni ujinga na kujiua mwenyewe na hata Mungu atakuhukumu.
Utamtafutia HIV positive mwenzie
Uko sahihi.....watu hawana elimu wala maarifa.....ref.cancer na kisukari ni balaa kuliko hiv+Yeye hiv+ ameshakufa? Sema angemuambukiza.
sijui kwanini tunawabrand hiv + kama tayari weshakufa ilihali watu kibao -ve wanakufa wanawaacha.
Maisha hayako hivyo.TRUST MEAngalia status yako ipoje kwa sasa ni _ve au +ve, ikiwa +ve endeleeeni kuishi pamoja ikiwa neg kimbia kusanya kilicho chako fyatuka kwel kwel
Si kweliMtu akiwa hiv+ huyo ni marehemu anayetembea
Dunia ya kibepari hiiiMaisha hayako hivyo.TRUST ME
Una-focus on goals not the distributions and distractions.Hivi kwa mfano umeingia kwenye mahusiano na mwana mke miaka 2 ukampa ujauzito ukamua kumuoa tena kwa ndoa ya kanisani baada ya wiki unagundua kua ni mathilika wa ukimwi na ww hujaathirika unachukua maamuzi gani?
View attachment 2721954
Unamaanisha marehemu mtarajiwa kama wewe na mimi tu.Mtu akiwa hiv+ huyo ni marehemu anayetembea
KweliUko sahihi.....watu hawana elimu wala maarifa.....ref.cancer na kisukari ni balaa kuliko hiv+
Imagine alikua muathirika toka kitambo na hakukwambia mpaka umemuoa![]()
Mfano imetokea sasa kwa xababu yeyoteNdoa gani ya kikristo hampimwi afya
Mimi najua kabla ya kutangaza uchumba kanisani lazima viongozi wawapeleke mkapime afya tena wanawapeleka hospital wanayoijua wao mnacheack afya then mnafata iyo process ya uchumba
Au wenzangu makanisa yenu hayana hizo hatua ni kutangazA ndoa tu
KivipiIla wewe una kitu unatafuta na utakipata tu muda sio mrefu nimekuvumilia nimeshindwa.
Mfano imetokea sasa kwa xababu yeyote
Unaelimu ndogo kuhusu HIV ,siku iz mnaweza kuishi kama mke na mume bila mmoja kumuambukiza mwenzakeUnamuacha ni mjinga tu ndiye ataendeleanaye...kuendelea ni ujinga na kujiua mwenyewe na hata Mungu atakuhukumu.
Utamtafutia HIV positive mwenzie
Tunajadiri maisha harisi hapa mambo ya elimu yaache chuoni hukoUnaelimu ndogo kuhusu HIV ,siku iz mnaweza kuishi kama mke na mume bila mmoja kumuambukiza mwenzake