Dearany bahati
Member
- Aug 1, 2022
- 41
- 86
- Thread starter
- #21
Daah ungekua ww ungefany nnNina worse stories siku nikiwa sawa nitasema . Ila women are snakes so are some men . Hasa nurses they can cheat results kisa ndoa
Daah ungekua ww ungefany nnNina worse stories siku nikiwa sawa nitasema . Ila women are snakes so are some men . Hasa nurses they can cheat results kisa ndoa
HIV POLICY ZA TZ NI MBOVU .. Ni zAkingese Zina allow more infections . Mtu ni positive Anaweka Siri kwa mpenzi wake . Sasa anauwa wengine kumi . ULAYA . Ukiwa positive usipo disclose kwa Partner wako . Ni jela up to 13 years ndani . Amna Masiala . Sema Tanzania tunazingua everyone for himself .Yeye hiv+ ameshakufa? Sema angemuambukiza.
sijui kwanini tunawabrand hiv + kama tayari weshakufa ilihali watu kibao -ve wanakufa wanawaacha.
mimba ntalea, ila kuunga vikojoleo natafuta chimbo lenginena mimba je
Hawa viumbe ambao hata manabii walilizwa Adam ametolewa kwenye bustani mimi ni nani niwaamini🤣Toa wazo lako
Real bong tunafeliHIV POLICY ZA TZ NI MBOVU .. Ni zAkingese Zina allow more infections . Mtu ni positive Anaweka Siri kwa mpenzi wake . Sasa anauwa wengine kumi . ULAYA . Ukiwa positive usipo disclose kwa Partner wako . Ni jela up to 13 years ndani . Amna Masiala . Sema Tanzania tunazingua everyone for himself .
Kwahy bora kuchimbaHawa viumbe ambao hata manabii walilizwa Adam ametolewa kwenye bustani mimi ni nani niwaamini
Ila ujinga wa penzi ukipewa tu na ukapetiwa petiwa network zote holaa unaanza kusema mbona watu wanasema mapenzi ya kweli hamna wakati haya hapa nayashuhudia.



Utalea akiwa kwao aumimba ntalea, ila kuunga vikojoleo natafuta chimbo lengine
Kumbe nurses Wana roho mbaya ?Nina worse stories siku nikiwa sawa nitasema . Ila women are snakes so are some men . Hasa nurses they can cheat results kisa ndoa
SolutionsDaah ungekua ww ungefany nn
yeah maana tushaachana na mali tushagawanaUtalea akiwa kwao au
RealKumbe nurses Wana roho mbaya ?
Nzur pia sio mbayyeah maana tushaachana na mali tushagawana
namtumia matunzo ya kila mwezi
Dooh kwel ipo xawa hiiSolutions
1 : Keep the pregnancy and the woman happy during pregnancy na Kama una hela avoid Brest feeding kwa mtoto at all cost . Kama huna sio mbaya Ila mama afate protocol
2 : find another love , maisha mafupi . Haya magonjwa yasikie kwa mwingine . Ukibaki atakuambukiza muwe sawa . Seen women do that . Hasa kwa ndoa changa .
3 : don’t segregate that pregnant woman mpe all the support Kama mke na mama wa mtoto wako . But explain the situation to her . In a better way sio kwa Ubaya so you get your child well raised . Ila kisasi wengi wanafanya kulinda ndoa . Be humble be responsible be a man .be careful
Huna chakufanya Chezen tu mchezo wa kufichiana vidonge siku ziende


Duuh ukwel bigWazo lako jepole
chan: why take 2 buses ? you only needed bus 8Nzur pia sio mbay