Shem Bae unazingua....Tena unazingua vibaya mno🤣🤣🤣🤣 Kama Balehe ya pili iko hivi usipoangalia itakuwa fedheha Shem Bae😁Shem bae niko balehe ya pili, najaribu kushika brake lakini nashindwa.
Nilitaka nikuite ila kuna njemba very respectful imesema maneno mazito juu yako.
Nafanyaje sasa🤣
Haiwezi kuwa fedheha, siwezi kukubali kudhalilika, ila kwenye kutafuta lazima uingie huku na kule🤣Shem Bae unazingua....Tena unazingua vibaya mno🤣🤣🤣🤣 Kama Balehe ya pili iko hivi usipoangalia itakuwa fedheha Shem Bae😁
Sasa huyo "njemba" kwani amekuzuia nini kunitaja lakini?
Ila wewe😅😅😅😅Haiwezi kuwa fedheha, siwezi kukubali kudhalilika, ila kwenye kutafuta lazima uingie huku na kule🤣
Wewe kuambiwa unizeeshe utakubali? Na bwana Tresor atanielewaje, sitaki risasi mie🤣
Good Morning Swahiba, kipenzi,umemkaje?Fanya hivyo Swahiba wangu....Unaelewa vyema....
Good Morning...
hahahahahahaha,mie siku hizi sipigi masasi mutu, wewe sema neno, Makiwendo ni Swahiba wangu kipenzi sana humu,haina shida mtaje tuHaiwezi kuwa fedheha, siwezi kukubali kudhalilika, ila kwenye kutafuta lazima uingie huku na kule🤣
Wewe kuambiwa unizeeshe utakubali? Na bwana Tresor atanielewaje, sitaki risasi mie🤣
Ni kweli mie sina shida kabisa,yeye awe na aman tu, na hakikishe UKO SALAMA muda woteIla wewe😅😅😅😅
Sasa mimi nakuteteaje humu...na Wanajua wewe ni Shem bae wangu peke yangu kwa Mahi wangu?
Tresor atakuelewa vyema tu....hanaga mambo mengi🤣
hahahahahahaha, kwahiyo mie ndio NJEMBA ? hahahahahaShem Bae unazingua....Tena unazingua vibaya mno🤣🤣🤣🤣 Kama Balehe ya pili iko hivi usipoangalia itakuwa fedheha Shem Bae😁
Sasa huyo "njemba" kwani amekuzuia nini kunitaja lakini?
Salama sana Swahiba...kumekuchaGood Morning Swahiba, kipenzi,umemkaje?
hahahahahaha ERoni elezea majaji mie NJEMBA kivipi?
Nafurahi kusikia habari njema kuwa uko salama ,SwahibaSalama sana Swahiba...kumekucha
Rais wetu amefiwa na rafiki yake kipenzi halafu wewe unaleta issue za mapenzi.Humu jf mtag mtu umpendae ili aje ashuhudie upendo wako kwake.
Mkuu,hahahahahahaha,mie siku hizi sipigi masasi mutu, wewe sema neno, Makiwendo ni Swahiba wangu kipenzi sana humu,haina shida mtaje tu
hahaahaha,heshima kwako pia Mkuu, mengine nimekuelewa mkuu,ibaki kama ilivyoMkuu,
Una heshima yako kwangu, sitaki kuingia anga zako hata kidogo, hii interest uliyoonyesha kwa sisi wala chumvi hatuhitaji maswali🤣
Hata hivyo Makiwendo ni shem wangu, hatujawahi kuvuka mipaka🤣🤣
Unajibeep?Duh..... ni vyema kuwa wawili mkuu
Na nitajipigia....Unajibeep?
Inaniusu hainiusu mimiRais wetu amefiwa na rafiki yake kipenzi halafu wewe unaleta issue za mapenzi.
ungeanza kwa kutoa mfano kwa kumtag huyo umpendaye