StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 6,583
- 7,785
- Thread starter
- #21
Huko kuwaona wenye Upendo wa Kweli ni "mazuzu" kumeanza baada ya nini kutokea kwenye maisha yako au automatically ulizaliwa hivyo?.Yah ishawahi kuuona ila wanaoonesha upendo wahivyo me binafsi sichukuliagi kama niupendo ila huwa nawaona kama mazuzu