Upendo wa kweli hupimwa vipi!?

Upendo wa kweli hupimwa vipi!?

Love doesn't have a limit in anything including cash !!

You just need to use ur cards properly. Ishi na mkeo kwa akili.
Sawa ila hilo la kusema kuwa wanawake tuna uwezo wa kutambua ni wanaume gani wana mapenzi ya kweli na wanaume gani hawana mapenzi ya kweli kati ya wanaotutongoza ni uongo wa kiwango cha esijiara
 
Sio kweli, ndio maana mwanamke ukimdanganya anadhani ni kweli na ukimwambia ukweli anadhani ni uongo
Dah nimemchana maukwel mamz kang'aka balaa😆😆😆 adi najuta kumfahamu. Wanawake wameumbwa kudanganywa tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom