Upendo unaweza kuisha ghafla kiasi hiki?

Upendo unaweza kuisha ghafla kiasi hiki?

Inawezekana hakuwa mkewe wa ndoa jamani, labda ni small house ambayo labda uyo dereva alishaichoka. Ila madereva nao mhh, wana mambo!
 

Nikajiuliza amepata wapi nguvu ya kuweza kufanya kazi leo baada ya msiba mkubwa kama huo kutokea?

Ninajiuliza je huyo Dereva alikuwa hampendi mkewe au baada ya kufa upendo unatoweka ghafla hata kabla ya maziko?
ungejiuliza zaidi labda ungepata jibu!
1. je Boss anahusika vip na jamaa kuendelea kupiga mzigo? i.e pengne boss ndo kashinikiza aeendeshwe kwa kisingizio ''ukiondoka ww nani atanipeleka kazini? kama huwez kaz we sema nitafute dereva mwngne!! haikuwepo kwenye mkataba wetu wa kazi! n.k

endelea kujiuliza zaidi utapata majibu
 
Back
Top Bottom