Upendo unaoendelea kwa miaka 70...

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,840
ImageUploadedByJamiiForums1449920936.976738.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1449920952.040010.jpg

Katika miaka 70 iliyopita, Bw. Cao Yuehua alirudi nyumbani kwake kutoka uwanja wa vita dhidi ya wavamizi wa Japan ulioko magharibi mwa mkoa wa Yunnan nchini China na kaskazini mwa Myanmar, alifunga ndoa na kupiga picha ya harusi mbele ya jengo la Shufan mjini Chongqing. Sasa mzee Cao na mkewe ambao wote wana umri wa miaka 98 wamekwenda huko tena kupiga picha ili kusherehekea miaka 70 ya ndoa yao, pia walisoma pamoja kwa Kichina na Kiingereza shairi lililoandikwa na Bw Cao kwa mkewe wakati alipokuwa vitani. Lifuatalo ni shairi lake lililoandikwa kwa Kiingereza:
"My darling
Please give me a definite answer
Which will reflect my once pale youthfulness
I will repay you a heart-to-heart smile and love
Which nothing in the world can deprive me of
In future
we shall hand-in-hand
bulid a small castle on the yellow soil
and in winter
while warming ourselves on the fire
listen together to the beautiful singing of the early-spring cuckoo
Cuckoo jiugjiu pwetwetawu"
 
Kipi kilitokea hadi mwanamme aliendelea kurefuka na mwanamke akabaki na kimo kilekile ?????
 
Back
Top Bottom