Upendo toka rohoni

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,686
729,848
1453292199741.jpg
 
Watoto wa kike wakiwa wadogo ni wazuri mno ajabu, ni wakweli, wako na huruma upendo na utii,ila wakishavunja ungo tuu! hakuna asiejua maswahibu yao.
 
mtoto wa kike anakuwa msaada kwa mzazi na wadogo zake mapema sana. maana ufahamu wake unakuwa haraka kuliko mtoto wa kiume
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom