Upendo Peneza (CHADEMA) awalaumu Wabunge wanaohama vyama. Asema chaguzi za marudio ni kucheza pesa za wananchi!

Wale lumumba team hawajafurahia walichosikia. Walitegemea kusikia anaondoka cdm na kwenda ccm kuunga mkono juhudi za rais.
 
Waeleze wenye vyama vyao angalau mteuliwa awe amekaa kwenye chama kwa muda usiopungua miaka miwili. Hii ndio namna ya kuwaenzi "loyal members" badala ya kuona wakuja wana sifa kuzidi walioko ndani
 
WELL DONE PENEZA...hii ndio namna bora ya kumuunga mkono rais katika harakati za kupunguza matumizi ya hovyo.Kujiuzulu ubunge ni maamuzi ya mtu binafsi lakini tunaporudia uchaguzi ni kulibebesha Taifa gharama zisizo za lazima.Nawashauri wabunge wa upinzani wamuunge mkono rais hata wakiwa kwenye vyama vyao.
 
Kabisa..na hii mibunge yote inayohama vyama isiruhusiwe kugombea tena.....
 
Oh yeah?

Ndicho alichotangaza hicho?
Hiyo Press ilibidi amjibu Lema maana ndiye amekuwa akieneza habari za wao na Mnyika kuhama chama lakini Lema ana aminika zaidi na Mbowe na yuko karibu nao.....
Lema ni tatizo kubwa ndani ya chadema amekuwa mbea
 
Hiyo Press ilibidi amjibu Lema maana ndiye amekuwa akieneza habari za wao na Mnyika kuhama chama lakini Lema ana aminika zaidi na Mbowe na yuko karibu nao.....
Lema ni tatizo kubwa ndani ya chadema amekuwa mbea
Wewe kijani umekuwa msemaji wa chadema??
 
Anaongea madini sana huyu mtoto.

Anazungumzia jinsi wanaojinasibu kwamba wanapambana na ufisadi wasivyotaka mafisadi watajwe.
 
Una uhakika Sumaye yupo ki kweli kweli CHADEMA au mazingaonmbwe tu mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…