Upendo ni zawadi

Hahaha kwenye ww2 ..sindio? ...

Wapo bwana '-ila ni wao wenyewe ni waoga wakujiingiza tu kwenye mahusiano wakati hawana uhakika wa usalama wa mioyo yao na mahali wanapotaka kujiweks
Tatizo wa kukupa upendo wa hvo sijui walishakufaga
 
Ndio ''Maana ukaambiwa Upendo wako upeleke mahali Ambapo Utathaminiwa
Kuna mtu unaweza ukampenda sana na ukaonyesha upendo wote kumbe anakereka.

Well noted!
 
Kabisa...yaan hakuna jema
Japo mimi nimewahi kumtenda mtu.

Kuna mtu aliwahi kunipenda ila alikuwa ananikera akiniambia "I love you'' nilikuwa nashikwa na hasira balaa.

Yaani akinionyesha mahaba sitamani hata kuyaona yaani, akawa anaishia kuniambia tuu " sasa nifanye nini maana kila ninachofanya nakosea".
 
Ha ha ha ukutakjwa hata kua nae huyo
 
Tatizo ni pale ambapo unaona unadhaminiwa lakini moyo wako haupo huko.
Haya mambo haya, acha tuu
Si umuache? Kwa nini uishi ndani ya himaya ambayo kwa hakika unakereka kuwepo?

Ni heri kumwambia mtu ukweli, ataumia at first lakini mwisho ataelewa, kuliko kuishi kiwiziwizi...
 
Si umuache? Kwa nini uishi ndani ya himaya ambayo kwa hakika unakereka kuwepo?

Ni heri kumwambia mtu ukweli, ataumia at first lakini mwisho ataelewa, kuliko kuishi kiwiziwizi...
Sio kila anayeambiwa let's end this relationship huwa anakubali.

Pamoja vituko vyote unavyoweza kumfanyia lakini bado akaendelea kutaka kubaki kwenye maisha yako akiamini kuna siku utabadilika.

Haya mambo yapo na ni halisi japo ni vigumu sana watu Ku admit.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…