Poleni na kazi za ujenzi wa taifa letu,kunajambo limenisumbua mda mrefu sana nimeona leo nililete hapa jukwaani niweze kupata msaada wenu jambo lenywewe ni upendo ni nini na ukimpenda inakuwaje.
Kama Umelelewa Na Wazaz Wako Wote, Unavyojickia Kwa Mama Yako Au Baba Hlo Ndo Jibu, Ukitaka Tofaut Ya Upendo, Kama Una Mpenz Mme Au Mke Unavyofil Kwake Hlo Ndo Jibu.

Una umri gani????
una dini????
Upendo ni hali ya kumchukia mtu, yaani unakuwa hutaki hata kumuona, na ukimpenda mtu hapo uwezekano wa ngumi kila siku utakuwa ni mkubwa sana.
Una umri gani????
una dini????
Upendo ni hali ya kumchukia mtu, yaani unakuwa hutaki hata kumuona, na ukimpenda mtu hapo uwezekano wa ngumi kila siku utakuwa ni mkubwa sana.
Poleni na kazi za ujenzi wa taifa letu,kunajambo limenisumbua mda mrefu sana nimeona leo nililete hapa jukwaani niweze kupata msaada wenu jambo lenywewe ni upendo ni nini na ukimpenda inakuwaje.
Upendo ni uroho wa kutamani kitu kikurizishe nafsi yako, waweza penda kuwa mwongo, mbeya, waweza kutamani kuolewa na jamaa katili , waweza penda kuona mtu analia kwa uchungu, waweza penda pili pili kali sana unazila huku unawashwa.