Unachanganya UPENDO na TAMAAUna weza dhani upendo ni pesa lakini utagundua ya kwamba unajidanganya ,hasa pale utakapo gundua ya kuwa mapenzi wako unaye mpa pesa na vitu vyote vya thamani anavyo taka, amekusariti tena analiwa na kamtu ambako hata kula ya kenyewe ni shida.
Unaweza sema upendo ni kumridhisha mpenzi wako kitandani lakini utagundua kuwa unajidanganya hasa pale itakapo kuwa una kaa juu ya kifua chake saa zima na kumfikisha kileleni, lakini ukagundua kuwa ana kusaliti tena mshikaji anaye mla hana maajabu yeyote kitandani hata kimoja cha dakika 5 ni cha kuhangaikia.
Unaweza kudhani kumpenda mtu ni kutokana na uzuri wake lakini utagundua ya kwamba unajidanganya hasa pale utakapo zama na kuoza kwa kibinti cha kawaida sana mpaka pisi zote mitaani ukaziona miyeyosho tu.
Dah ila upendo huu.
[emoji848]
Ndiyo mana umeambiwa uzuri wa mtu uko kwenye macho ya mtazamaji.Unaweza kudhani kumpenda mtu ni kutokana na uzuri wake lakini utagundua ya kwamba unajidanganya hasa pale utakapo zama na kuoza kwa kibinti cha kawaida sana mpaka pisi zote mitaani ukaziona miyeyosho tu.
Mapenzi yanaeleweka ila wapenzi hawaelewekiHahaha mkuu pole sana ndio mapenzi yalivyo huwa hayaeleweki
Kwahiyo vijana wafanyeje sasa we mzeeMapenzi yanaeleweka ila wapenzi hawaeleweki
Ni lazima wajie kitofautisha kati ya kupenda na kutamani.Kwahiyo vijana wafanyeje sasa we mzee
Sijutii kukupenda ujue we mzee [emoji847] vijana waje kuchukua madini hayoNi lazima wajie kitofautisha kati ya kupenda na kutamani.
Wajue kutafuta wapenzi wa kufanana / kuendana nao. Unakuta kijana anakomaa na mwanamke ambaye hawaelekeani hata!
Vijana watambue umuhimu wa kuridhika na walichonacho. Unatamani kumiliki Benz ilhali hata tairi la baiskeli bado haujamiliki , utakufwa siku si zako [emoji1]
Lakini maisha ni kama mbio za marathon sio Sprint. Maisha ni hatua yanahitaji subira
Hivi kuna wanaume wenye pesa wanaumizwa na mapenziUna weza dhani upendo ni pesa lakini utagundua ya kwamba unajidanganya ,hasa pale utakapo gundua ya kuwa mapenzi wako unaye mpa pesa na vitu vyote vya thamani anavyo taka, amekusariti tena analiwa na kamtu ambako hata kula ya kenyewe ni shida.
Unaweza sema upendo ni kumridhisha mpenzi wako kitandani lakini utagundua kuwa unajidanganya hasa pale itakapo kuwa una kaa juu ya kifua chake saa zima na kumfikisha kileleni, lakini ukagundua kuwa ana kusaliti tena mshikaji anaye mla hana maajabu yeyote kitandani hata kimoja cha dakika 5 ni cha kuhangaikia.
Unaweza kudhani kumpenda mtu ni kutokana na uzuri wake lakini utagundua ya kwamba unajidanganya hasa pale utakapo zama na kuoza kwa kibinti cha kawaida sana mpaka pisi zote mitaani ukaziona miyeyosho tu.
Dah ila upendo huu.
We mzee bhana[emoji16]Mapenzi yanaeleweka ila wapenzi hawaeleweki
Tayariiiii mtu kashapigwa square pipe kisogoniUna weza dhani upendo ni pesa lakini utagundua ya kwamba unajidanganya ,hasa pale utakapo gundua ya kuwa mapenzi wako unaye mpa pesa na vitu vyote vya thamani anavyo taka, amekusariti tena analiwa na kamtu ambako hata kula ya kenyewe ni shida.