Upendo ndiyo huu, Rais Magufuli na Lowassa

Upendo ndiyo huu, Rais Magufuli na Lowassa

2-0 as in 2015, goli la kwanza. 2020 la pili kwa tobo. Check mate hiyo. Kuna mpumbavu mmoja alithubutu hata kumkejeli EL wa CHADEMA enzi zile akifanya kampeni zake. Pamoja na matusi mengi tu, ati alijinyea! Kumbe yeye na WENZIE wamejiharishia. Wananuka haswa na wala hawahitaji kuguswa. Failed coup. Over
 
Ila mke wa Magufuli ni chadema blood trust me! Cheki mavazi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Sijui kama hii ndiyo ile "Who laughs first laughs best," au?
Not the one inferred therein !
Has more in tandem with essential game plan. Strategies in planning and termination, at a LOW COST! Mid game remain useful metric, 2025 iteration notwithstanding.
2020 terminal has desired yield. Gottcha
 
Namhurumia sana Lowasa from Prime Minister to almost a beggar! I wonder why our politicians are never satisfied with retirement!
 
Namhurumia sana Lowasa from Prime Minister to almost a beggar! I wonder why our politicians are never satisfied with retirement!
Wanahukumiwa na mifumo mibovu waliyoshindwa kuibadilisha wakiwa kwenye mfumo.Thus unaambiwa pinga sheria kandamizi ukiwa huru ili siku ukiwa jela ikufae.

Walipokuwa kwenye sytem tuliwaambia tengenezeni katiba mpya waliweka pamba Leo mfumo umewatupa, cheki wengine wanafukuzwa Kama mbwa wengine wanaomba msamaha japo wao ndio wamekosewa.

Hata Magufuli and company the same same siku mfumo ukiwatupa.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli, akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli kushoto katika picha ya kumbukumbu na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa aliyeambatana na Mkewe Mama Regina Lowassa nyumbani kwa Rais Dk. Magufuli.
View attachment 1505717
Lowasa anajishusha kiasi hicho... Kwa lipi hasa!? Au ni kuhakikisha kuwa Sioi anatoa gerezani kwa msamaha....!!
 
Hakuna upendo hapa ni unafiki tu wa kujikomba ili mkwe wake atolewe lupango. Ingekuwa ni upendo wa kweli wakati fisadi lowassa anatusiwa na maccm mbona hakutia neno? Na hata yeye mwenyewe alimtusi kwa kumuita JIZI.

Ahaaaa ahaaaa, hapo Magufuli anadhani waliompigia kura Lowassa 2015, watampigia yeye kwakuwa yuko naye.
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Lowasa anajishusha kiasi hicho... Kwa lipi hasa!? Au ni kuhakikisha kuwa Sioi anatoa gerezani kwa msamaha....!!

Hajawahi kuwa juu, miaka yote alikuwa ni mtu wa kutegemea mbeleko ya madaraka. Hata upinzani alikuja kusaka madaraka. Hapo Magufuli anamtumia ili kung'arisha nyota yake, akidhani atawavutia wapinzani kumkubali.
 
Ndoto za urais kwa EL zimeisha rasmi....
atabaki kutembelea Ikulu tu....
tena akialikwa....
 
Adui wa lowassa hajawahi kwa magufuli, adui wa lowassa kwa sasa kutokea 2015 ni jakaya na membe, sasa anko keshadeal nao indirectly sasa kwanini wasiwe mabest? Au umesahau kuwa adui wa adui yako ni rafiki yako?
 
Back
Top Bottom