emmanuel mruma
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,777
- 1,719
Lowasa na magufuli hawajawai kuwa na tatizo...magufuli pia anamkubali sana lowasa tangu akiwa boss wake na hekima zake zakutomkejeli wakati wa kampeni...lowasa pamoja nayote ni mzee mwenye busara Sanaa na anaelinda mdomo wake